Bolt kasaini rasmi kusakata kabumbu

Ana miaka 30+ sasa mpira ataucheza kwa mda gani?

Huyo anataka kuibia watu tu
 
Pole sana Mkuu wangu ila hiyo ndio hali halisi, hapo wakuwaonea huruma na Marefa na Washika Vibendera wakifanya masihara kila muda watakuwa wanapishana nae anarudi!!!
Hahahahahahahahaha
Umetisha mkuu
 
Duuu.., kwahyo huyu nae kumbe ni Msakata kabumbu? Tujiandae kuona Forward akiwa na speed Kali kuliko Mpira!!!
Iyo jezi ni #1 hasije akawa kipa tuu
 
Ana miaka 30+ sasa mpira ataucheza kwa mda gani?

Huyo anataka kuibia watu tu
Hiyo ni business strategy Mkuu. Subir timu itakavyopiga pesa ndefu ndio upime huo wizi uko wapi. Ligi itaangaliwa mpaka na wapenda riadha waone star wao atafanya nin. Jezi, matangazo, ving'amuzi ni mwendo wa kupiga hela tu
 
Huyo nae anatafuta kick tu,hana lolote la kutonyesha... Mpira na marathon wapi na wapi...umri wenyewe umemtupa.
 
Wabadilishane na striker wa masrid. Mmoja aende marathon na mwingine aende kwa Perez
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…