Bolt kasaini rasmi kusakata kabumbu

Bolt kasaini rasmi kusakata kabumbu

Ana miaka 30+ sasa mpira ataucheza kwa mda gani?

Huyo anataka kuibia watu tu
 
Pole sana Mkuu wangu ila hiyo ndio hali halisi, hapo wakuwaonea huruma na Marefa na Washika Vibendera wakifanya masihara kila muda watakuwa wanapishana nae anarudi!!!
Hahahahahahahahaha
Umetisha mkuu
 

Screenshot_2018-02-28-13-29-21.png
 
Ana miaka 30+ sasa mpira ataucheza kwa mda gani?

Huyo anataka kuibia watu tu
Hiyo ni business strategy Mkuu. Subir timu itakavyopiga pesa ndefu ndio upime huo wizi uko wapi. Ligi itaangaliwa mpaka na wapenda riadha waone star wao atafanya nin. Jezi, matangazo, ving'amuzi ni mwendo wa kupiga hela tu
 
Huyo nae anatafuta kick tu,hana lolote la kutonyesha... Mpira na marathon wapi na wapi...umri wenyewe umemtupa.
 
Back
Top Bottom