Bolt: Tumesitisha huduma kwa dereva aliyetuhumiwa kumtendea visivyo abiria, tukio linachunguzwa

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Screenshot 2026-10-02 at 15-02-34 Instagram.png

​
Kampuni ya Bolt Tanzania imetangaza kuwa imesikitishwa na tukio lililoripotiwa kuhusu dereva wake kumtendea isivyopaswa abiria wake "Tumesikitishwa sana na tukio lililoripotiwa kutokea kati ya dereva wa Bolt na abiria jijini Dar es Salaam. Usalama wa abiria na madereva wote ni kipaumbele chetu cha juu.

Pia, wameongeza kuwa wanaendelea kuchunguza malalamiko hayo ili kuhakikisha hatua stahiki zinachukuliwa. "Timu yetu ya huduma kwa wateja imewasiliana na abiria pamoja na dereva anayetuhumiwa. Kwa sasa, dereva huyo amesitishiwa kutoa huduma kupitia Bolt ili kutoa nafasi ya uchunguzi wa kina kufanyika".

Pia soma: DR Kanozo: Bolt hamkupikea simu wakati nahitaji msaada, dereva wenu amenipiga kibao

​
 
Umesomeka
Inahuzunisha kwa hali ya kimaisha ya kuwa daktari anapanda bodaboda
 
Kampuni ya Bolt Tanzania imetangaza kuwa imesikitishwa na tukio lililoripotiwa kuhusu dereva wake kumtendea isivyopaswa abiria wake "Tumesikitishwa sana na tukio lililoripotiwa kutokea kati ya dereva wa Bolt na abiria jijini Dar es Salaam. Usalama wa abiria na madereva wote ni kipaumbele chetu cha juu.

Pia, wameongeza kuwa wanaendelea kuchunguza malalamiko hayo ili kuhakikisha hatua stahiki zinachukuliwa. "Timu yetu ya huduma kwa wateja imewasiliana na abiria pamoja na dereva anayetuhumiwa. Kwa sasa, dereva huyo amesitishiwa kutoa huduma kupitia Bolt ili kutoa nafasi ya uchunguzi wa kina kufanyika".

Pia soma: DR Kanozo: Bolt hamkupikea simu wakati nahitaji msaada, dereva wenu amenipiga kibao

Kitu kikishaingia kwa mtz hata kiwe kizuri vipi kinakuwa kinyesi, hao wasimamizi wa bolt huenda ni waswahili hawajui majukumu yao
 
Back
Top Bottom