Mungu apishe mbali lakini inaonekana inaweza kuwa kama ile ya Mchezaji wa Cameron aliyefia uwanjani
tHE MATCH BETWEEN TOTTENHAM AND BOLTON HAS BEEN ABANDONED... THIS IS NOT LOOKING GOOD AT ALL FOR A CONGOLESE/BRITISH
TETESI NI KWAMBA FABRICE MUAMBA AMEPATA ATTACK AND HE IS FIGHTING FOR HIS LIFE
Bado hakuna taarifa zozote zile ila initial indication ni kwamba hii ni Cardiatic arrest, the first 10 minutes are critical for survival. Hakuna tetesi zozote kuhusu afya yake kwa sasa yupo hospitali, I am closely monitor the news about his health. Lets pray for him. Hii inanikumbusha issue ya FOE
Wanasema jamaa ni mmoja ya wachezaji walio fit hapo klabuniBolton medics plus manager have to answer some questions