Bolton player Fabrice Muamba collapses during match....updates.

Bolton midfielder Fabrice Muamba is stable and breathing again in a London hospital after collapsing on the pitch during a game with Tottenham

Hili tukio kwa kweli linatuonesha kwamba pamoja na mapepe yote, binadamu tuko kama balloons; haya maputo yanaweza kupasuka wakati wowote na hadithi ikaishia hapo!

Dogo apone haraka na Mungu azidi kumlinda!!
 
Fikiria hii ingetokea kwa mchezaji wa Mtibwa kule Manungu!!!

Wee acha tu,

Yaani sie tunapoteza watu wengi sana kwa magonjwa ambayo yanahitaji tiba ya haraka bila kuchelewa...

Kuna mshikaji wetu mmoja juzi juzi kaponea chupu chupu baada ya kupatwa na matatizo ya mwembama utumbo kujikunja kuwa kuvaana (intussusception) ila aliwahishwa hospitali wakamfanyia upasuaji haraka na kukata hiyo sehemu iliyopta matatizo...Kwa sasa ni mzima na anadunda!

Ingekuwa kijijini basi hiyo ingekuwa historia!!
 
Taarifa kutoka hospital zinasema Muamba is now in stable condition.
Shukrani kwa Mungu mtakatifu.


Source: skysport
 
Some touching msgs from friends here,


Fears for Fabrice Muamba after midfielder collapses on pitch at Spurs | Football | The Observer

 
"Bolton Wanderers can confirm that Fabrice Muamba has been admitted to The Heart Attack Centre at The London Chest Hospital where he is in a critically ill condition in intensive care,"
 
kama kumbukumbu bado zipo, mchezaji Hussein Tindwa wa Simba alianguka uwanjani kwenye gemu ya Simba na Raca rovers ya Nigeria

Huyu atapata matibabu ya haraka yule wa Simba hakupata bahati hiyo
 
nashkuru mungu amepata nafuu .... hivi mfano ingekuw2a match ya yanga na simba alafu simba au yanga anaongoza au game imenoga kiasi kwamba ni moja moja ... makocha wangekubaliana kuahirisha match...?

mimi si mshabiki wa spurs & they are our rivals .
. ila nawaheshimu kwa uamuzi waliofanya ..
 
Kinachonitisha ni ile duration ya kuwa critically ill baada ya heart attack, kama ataweza kurudi normal akipona, and he is only 23 for God's sake
 
Momently w're heading our thoughts and prayers to you, get well soon Fabrice Muamba.
 
Get well soon Fabrice....inanikumbusha enzi hizo taifa mchezaji wa Simba Hussein Tindwa alivyocollapse then akafariki njiani akipelekwa Muhimbili.....Simba walikuwa wanacheza na Racca Rovers ya Nigeria....acha wabongo tujisemee wanigeria wamemloga jamaa kwani walishiinda Simba 2 - 0 nyumbani wakati ilikuwa 0 - 0 huko kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…