G
guest-1789818704
Guest
- Thread starter
- #21
Karibu mkuranga ya viwandaWana-JF, nauza boma langu mwenyewe lililopo Kimanzichana kwa Gongo, Mkuranga – Pwani, takribani kilomita 68 kutoka Dar es Salaam na dakika 3 tu kwa miguu kutoka Kilwa Road. Ukiwa kwenye site, Kilwa Road inaonekana.
🏠 Vyumba 5 — 4 Master
🛋️ Sitting room | Dining | Kitchen | Store | Public toilet
📐 Kiwanja: mita 19×17 na 18*14
🏗️ Ujenzi umefikia kozi 11
💧 Kisima | ⚡ Umeme | 🚧 Uzio mdogo
🚛 Kifusi tayari kimeshamwagwa
Linafaa kwa makazi ya familia, nyumba ya kupangisha, guest house au zahanati, kulingana na matumizi ya mnunuzi
💰 Bei: TSh 18,500,000 — maongezi yapo kwa serious buyer. Mali inauzwa na mwenyewe
📞 0622 267 144
Karibu kwa site viewing; location na hatua ya ujenzi vionekane mwenyewe.
View attachment 3661419View attachment 3661420View attachment 3661422View attachment 3661423
Uwekeze ni dk 3 kutokwa kilwa road kwa bei ya 18,500.000 maongezi yapo gari inafika mpaka saiti