Boma la hii ramani litagharimu kiasi gani?

Boma la hii ramani litagharimu kiasi gani?

Wakuu Salaam kwenu
Kwa mimi nikapanga hivi
Tofali 2500 @ 1100 = 2,750,000
cement 50 @ 16,000 = 800,000
Mchanga fiat 2 @ 150,000 = 300,000
Nondo sjapata maesab ila naiwekea 1M
Ufundi. 2,500,000

jumla ni kama 7,350,000~ 8M

Wakuu 8M boma si linaisha bila utata wowote?

Nakarbisha Maoni, critics n.kView attachment 2629226
Vipimo vyake
 
Hiyo hesabu sidhan,unaweza ukawa unajifariji hesabu ninayo ijua ya chumba sebure na choo ni tofari 750 mpaka 800 kwahiyo ramani mbona km nitofari chache hizo
 
Wabongo kutishana mnooo. Ingia SITE kiongozi. Ukickiliza hapa hujengi
 
Hivi master bedroom kuwa jirani na living room imekaaje? kwa uhitaji wa utulivu huko chumbani
 
Hivi master bedroom kuwa jirani na living room imekaaje? kwa uhitaji wa utulivu huko chumbani
Katika vitu sipendi ni hii....yaani wewe jpili wapumzika zako unamashw na kelele za cartoon za watoto.
Mara unataka kumkaza wife saa nane mchana unaanza ogopa watoto watasikia jinsi mama yao anavyolia kwa utamu
 
Dar
Twiga extra 16,000
Twiga plus 16,500

Dangote 32.5: 16,000
Dangote 42.5: 16,500
Inategemea na sehemu, twiga extra kuna sehemu ni 15,500

Nondo ukinunua nyingi kama nusu tani unaweza pata hata kwa 20,000 japo sio za nje ni za ndani.
 
Inategemea na sehemu, twiga extra kuna sehemu ni 15,500

Nondo ukinunua nyingi kama nusu tani unaweza pata hata kwa 20,000 japo sio za nje ni za ndani.
Hivi kwanini serikali iliamua ruhusu nondo za ndani ziwe na kipimo kidogo kuliko za nje?
 
Inategemea na sehemu, twiga extra kuna sehemu ni 15,500

Nondo ukinunua nyingi kama nusu tani unaweza pata hata kwa 20,000 japo sio za nje ni za ndani.
Uko sahihi ni kweli

Niliandika bei za kawaida za mitaani kama kwenye hardware zilizopo Dar
 
Hivi kwanini serikali iliamua ruhusu nondo za ndani ziwe na kipimo kidogo kuliko za nje?
Kwa sababu wahindi wameruhusiwa wapo huru kufanya wanavyosikia. Sio nondo tu, Square/round pipes zilikuwa 20feet sasa hadi 18feet unapata, unapata hadi zenye 0.6mm thickness mkuu wakati standard zinatakiwa walau 1mm, yaani nchi hii tabu tupu, nondo za 12mm ukipima kwa vernier calliper ni around 10.8mm
 
Inategemea na sehemu, twiga extra kuna sehemu ni 15,500

Nondo ukinunua nyingi kama nusu tani unaweza pata hata kwa 20,000 japo sio za nje ni za ndani.
Nondo za 12mm kwa 20k labda uende kwa agents mkubwa kama yule Lizzy pale Rafia
 
Ukinunua kuanzia nusu tani kuna discount kubwa tu. Mfano ukienda Kamaka ukanunua tani moja kwa sasa zimeshuka hadi 1.9m wakati mwezi wa pili zilikuwa 2.1m.
Yeah sahihi KAMAKA nimewakubali sana siku hizi kama Wachina hawaachi hela.

Jamaa wanaenda hadi bodi ya wakandarasi kuchukua majina ya makandarasi wanawapigia ikiwa wana sites wanahitaji materials wanakutajia bei yenye punguzo wanakuletea hadi site
 
Eeh biashara imekuwa hivyo siku hizi, kila mtu anapambana kwa namna yake.
 
Back
Top Bottom