Vipimo vyakeWakuu Salaam kwenu
Kwa mimi nikapanga hivi
Tofali 2500 @ 1100 = 2,750,000
cement 50 @ 16,000 = 800,000
Mchanga fiat 2 @ 150,000 = 300,000
Nondo sjapata maesab ila naiwekea 1M
Ufundi. 2,500,000
jumla ni kama 7,350,000~ 8M
Wakuu 8M boma si linaisha bila utata wowote?
Nakarbisha Maoni, critics n.kView attachment 2629226
Hiyo hesabu sidhan,unaweza ukawa unajifariji hesabu ninayo ijua ya chumba sebure na choo ni tofari 750 mpaka 800 kwahiyo ramani mbona km nitofari chache hizo
Bila million 60 hutoboi🤣🤣🤣🤣10 kwa 12 mkuu
Katika vitu sipendi ni hii....yaani wewe jpili wapumzika zako unamashw na kelele za cartoon za watoto.Hivi master bedroom kuwa jirani na living room imekaaje? kwa uhitaji wa utulivu huko chumbani
Sasa unataka watu tusijengeTofali 2500 hazimalizi hiyo nyumba kuanzia msingi hadi top course liwe boma
Kwa boma tu kozi bila mkanda na zile kozi 2 au 3 za baada ya mkanda hiyo pesa inaweza kutosha,ila na mkanda aitodhi8m boma? Bro una Utani na Ujenzi asee
Hahaa inabidi tujipange au twende mdogomdogoSasa unataka watu tusijenge
Inategemea na sehemu, twiga extra kuna sehemu ni 15,500Dar
Twiga extra 16,000
Twiga plus 16,500
Dangote 32.5: 16,000
Dangote 42.5: 16,500
Hivi kwanini serikali iliamua ruhusu nondo za ndani ziwe na kipimo kidogo kuliko za nje?Inategemea na sehemu, twiga extra kuna sehemu ni 15,500
Nondo ukinunua nyingi kama nusu tani unaweza pata hata kwa 20,000 japo sio za nje ni za ndani.
Uko sahihi ni kweliInategemea na sehemu, twiga extra kuna sehemu ni 15,500
Nondo ukinunua nyingi kama nusu tani unaweza pata hata kwa 20,000 japo sio za nje ni za ndani.
Kwa sababu wahindi wameruhusiwa wapo huru kufanya wanavyosikia. Sio nondo tu, Square/round pipes zilikuwa 20feet sasa hadi 18feet unapata, unapata hadi zenye 0.6mm thickness mkuu wakati standard zinatakiwa walau 1mm, yaani nchi hii tabu tupu, nondo za 12mm ukipima kwa vernier calliper ni around 10.8mmHivi kwanini serikali iliamua ruhusu nondo za ndani ziwe na kipimo kidogo kuliko za nje?
Nondo za 12mm kwa 20k labda uende kwa agents mkubwa kama yule Lizzy pale RafiaInategemea na sehemu, twiga extra kuna sehemu ni 15,500
Nondo ukinunua nyingi kama nusu tani unaweza pata hata kwa 20,000 japo sio za nje ni za ndani.
Basi bora tuendelee kugegeda tuuHahaa inabidi tujipange au twende mdogomdogo
Ukinunua kuanzia nusu tani kuna discount kubwa tu. Mfano ukienda Kamaka ukanunua tani moja kwa sasa zimeshuka hadi 1.9m wakati mwezi wa pili zilikuwa 2.1m.Nondo za 12mm kwa 20k labda uende kwa agents mkubwa kama yule Lizzy pale Rafia
Nondo moja ya 12mm ni Tshs 22,000/= wakati hapo nikienda Ambiance napata mbususu kwa 15,000/= nabakiwa na 7,000 nagonga lite zangu 2 najipooza narudi zangu magetoniBasi bora tuendelee kugegeda tuu
Yeah sahihi KAMAKA nimewakubali sana siku hizi kama Wachina hawaachi hela.Ukinunua kuanzia nusu tani kuna discount kubwa tu. Mfano ukienda Kamaka ukanunua tani moja kwa sasa zimeshuka hadi 1.9m wakati mwezi wa pili zilikuwa 2.1m.
Eeh biashara imekuwa hivyo siku hizi, kila mtu anapambana kwa namna yake.Yeah sahihi KAMAKA nimewakubali sana siku hizi kama Wachina hawaachi hela.
Jamaa wanaenda hadi bodi ya wakandarasi kuchukua majina ya makandarasi wanawapigia ikiwa wana sites wanahitaji materials wanakutajia bei yenye punguzo wanakuletea hadi site