raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Eneo hilo ni mkoa gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naelewa Mkuu,Nafanya mpango wa picha bora...Ila still biashara inaweza kufanyika kama unahitaji kujiridhisha.Ndio maana nimeweka mawasiliano kwa sababu naelewa changamoto.Kuhusu Ukubwa wa eneo hilo nalifanyia marekebisho boss.Ila picha nyingine itabidi univumilie nifanye mchakato.Haupo serious mkuu.
Hujaeleza ukubwa wa eneo upo vipi, picha ya jengo nayo umeipiga kimachale sana , na mapungufu mengine mengi wanajukwaa wameyaeleza. .
Hebu weka taarifa zote hapa hadharani ili tuweze kufanya maamuzi.
Unapoamua kufanya kazi ya udalali hakikisha unakuja na taarifa zilizo kamilika hapa Jukwaani, usiruhusu watu watilie mashaka .Naelewa Mkuu,Nafanya mpango wa picha bora...Ila still biashara inaweza kufanyika kama unahitaji kujiridhisha.Ndio maana nimeweka mawasiliano kwa sababu naelewa changamoto.Kuhusu Ukubwa wa eneo hilo nalifanyia marekebisho boss.Ila picha nyingine itabidi univumilie nifanye mchakato.
Naamini haitazuia biashara kufanyika
Mkuu ukubwa wa ene ni 17 kwa 23M sijasema sijui nimesema nina ongeza kwenye uzi.Sorry about that.ShukraniUnapoamua kufanya kazi ya udalali hakikisha unakuja na taarifa zilizo kamilika hapa Jukwaani, usiruhusu watu watilie mashaka .
Sasa unaona haujui hata ukubwa wa eneo ambalo unaliuza ambalo ndio suala la msingi kuliko hata hilo pagare ulilotuonesha, unawezaje kujadili bei na mteja wakati hata ukubwa wa eneo unalotaka kuliuza hulifahamu wala mteja hajui??
Weka beiMkuu ukubwa wa ene ni 17 kwa 23M sijasema sijui nimesema nina ongeza kwenye uzi.Sorry about that.Shukrani
Anapigwa mtu muda siyo mrefuBe ware guys, it's 50 50
Mkuu,Naelewa kwamba kunaweza kuwa na mapungufu ila sidhani kama na kwa kiwango ambacho wewe umeweka.Ukiamua kuleta biashara JF hakikisha umejipanga kwa kila kitu. Mfano uwe na details zote za biashara pamoja na bei. Wateja ni wengi sana hapa jf.
Ukishapatana nao mambo ya PM/inbox ya aina yoyote ile yatakuwa ya mwisho kabisa. Sasa huweki bei bila sababu unadhani nini kinaenda kufuatia kama siyo kupigwa?
Kitu kingine, hiyo picha umepiga usiku? Nyumba ni yako au wewe ni dalali? Unadhani ingekuwa kweli kuna dharura ungeleta biashara kwa style yako?
Labda ipo Kigoma mwisho wa reli 😃😃😃😃Eneo hilo ni mkoa gani
Natania tu.Umenifanya nikawaza Kigoma.Ila eneo halipo Kigoma