Hamna ubaya mkuu,Maswali sio matusi,So huwa sina chuki na mtu anapouliza maswali maana inakuonesha kwamba amesoma na ameelewa.Na pia hiki kijiwe chetu kisipoluwa na stori kitaboa na hizi MB tutakosa pa kuzitumia.Karibu tufanye Biashara Boss,Hii kitu inatakiwa iende mapema sana.