Namche Bazar
Senior Member
- Apr 8, 2019
- 116
- 176
Kwa hiyo kama Boma lipo karibu na Tanga cement una maanisha bei ya cement itakuwa chini?Kichangani, saruji, majani mapana, kange, maweni,kaka unaonekana wakuja sio mwenyeji wa Tanga,maana mwenyeji wa tanga hwezi ita hilo ni boma. Any way kwa mahala lilipo hilo boma, naona kdogo bei ipo juu ukizingatia upo karb na Tanga cement hapo, shuka mkuu mpaka milion 9
Kwa jins ya picha ulivyoipga, sisi wenyeji tunaita "banda la uani " ww unaonekana mtumishi au unataka kuhama mji,halafu mzawa wa Tanga asilia hawez kukaa kichangani,huko wanakaa watumishi au watu waliokuja kutafta maisha tu.kuhusu garama za ujenzi tanga ni rahisi mnoo, shusha kijana acha kuvimba, watataga njiwa xx hv hapoKwa hiyo kama Boma lipo karibu na Tanga cement una maanisha bei ya cement itakuwa chini?
Unajua mfuko mmoja wa cement unauzwa kiasi gani hapo Kichangani?
Haya tuambie wewe mwenyeji wa Tanga hilo boma unaliitaje?
Boma lilo Kichangani jirani na Maweni umbali wa takribani 15 kilometa toka katikati ya jiji la Tanga.Sehemu tulivu kabisa.
Kichangani, saruji, majani mapana, kange, maweni,kaka unaonekana wakuja sio mwenyeji wa Tanga,maana mwenyeji wa tanga hwezi ita hilo ni boma. Any way kwa mahala lilipo hilo boma, naona kdogo bei ipo juu ukizingatia upo karb na Tanga cement hapo, shuka mkuu mpaka milion 9
Sawa nenda kampe hiyo milioni 9 unayotaka uchukue banda la uwani.Kwa jins ya picha ulivyoipga, sisi wenyeji tunaita "banda la uani " ww unaonekana mtumishi au unataka kuhama mji,halafu mzawa wa Tanga asilia hawez kukaa kichangani,huko wanakaa watumishi au watu waliokuja kutafta maisha tu.kuhusu garama za ujenzi tanga ni rahisi mnoo, shusha kijana acha kuvimba, watataga njiwa xx hv hapo