Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Maweni na kwa Toma pote hapafahamiki Kwa wengi. Tumia akili zako kuweka tangazo ili usiwakwaze watu kukuuliza uliza kila mara.
Vitongoji vikuu vya Kigamboni vinajulikana, wewe kiwanja kiko wapi hicho??
Vitongoji vikuu vya Kigamboni vinajulikana, wewe kiwanja kiko wapi hicho??
Maweni, karibu na kwa toma