Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,775 Reaction score 29,746 Jun 3, 2023 #21 Maweni na kwa Toma pote hapafahamiki Kwa wengi. Tumia akili zako kuweka tangazo ili usiwakwaze watu kukuuliza uliza kila mara. Vitongoji vikuu vya Kigamboni vinajulikana, wewe kiwanja kiko wapi hicho?? konkudeshu said: Maweni, karibu na kwa toma Click to expand...
Maweni na kwa Toma pote hapafahamiki Kwa wengi. Tumia akili zako kuweka tangazo ili usiwakwaze watu kukuuliza uliza kila mara. Vitongoji vikuu vya Kigamboni vinajulikana, wewe kiwanja kiko wapi hicho?? konkudeshu said: Maweni, karibu na kwa toma Click to expand...
Sir John Roberts JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 12,835 Reaction score 23,584 Jun 3, 2023 #22 Daah hili kweli boma
K konkudeshu Member Joined Oct 16, 2022 Posts 88 Reaction score 73 Jun 3, 2023 Thread starter #23 Shark said: Maweni na kwa Toma pote hapafahamiki Kwa wengi. Tumia akili zako kuweka tangazo ili usiwakwaze watu kukuuliza uliza kila mara. Vitongoji vikuu vya Kigamboni vinajulikana, wewe kiwanja kiko wapi hicho?? Click to expand... Kigamboni, maweni ndio sehem eneo lilipo
Shark said: Maweni na kwa Toma pote hapafahamiki Kwa wengi. Tumia akili zako kuweka tangazo ili usiwakwaze watu kukuuliza uliza kila mara. Vitongoji vikuu vya Kigamboni vinajulikana, wewe kiwanja kiko wapi hicho?? Click to expand... Kigamboni, maweni ndio sehem eneo lilipo
S Shakir JF-Expert Member Joined Jul 31, 2012 Posts 1,627 Reaction score 1,926 Jun 4, 2023 #24 konkudeshu said: Kigamboni, maweni ndio sehem eneo lilipo Click to expand... Ashakuambia hapo maweni hapajulikani, bado unang'ang'ania Maweni. Si useme ni karibu na Geza, Kibada, Dege, Vijibweni, Mjimwema, Toangoma, Kimbiji au wapi?
konkudeshu said: Kigamboni, maweni ndio sehem eneo lilipo Click to expand... Ashakuambia hapo maweni hapajulikani, bado unang'ang'ania Maweni. Si useme ni karibu na Geza, Kibada, Dege, Vijibweni, Mjimwema, Toangoma, Kimbiji au wapi?
Urban Edmund JF-Expert Member Joined Mar 20, 2018 Posts 2,250 Reaction score 3,607 Jun 4, 2023 #25 hapo unanunua kiwanja sio boma
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 41,878 Reaction score 81,593 Jun 4, 2023 #26 konkudeshu said: Toa ofa Click to expand... 2.5m
K konkudeshu Member Joined Oct 16, 2022 Posts 88 Reaction score 73 Jun 4, 2023 Thread starter #27 mzabzab said: 2.5m Click to expand... 2.7m tufafanye biashara