Bomba kubwa la DAWASA limepasuka maneno banana ukonga mkabala na Aviation house toka mwezi wa nne mpaka Sasa tumetoka taarifa DAWASA Kinyerezi na wamefika hakuna utatuzi wowote. Maji yanayomwagika ni Mengi na yanasambaa kwenye makazi ya watu
Mamlaka husika hasa mh Waziri tunaomba msaada wako kutatua hili tatizo.
Kilichosemwa na Mamlaka ~ DAWASA: Tumeshughulikia changamoto ya bomba lililokuwa limepasuka Ukonga Mombasa
Mamlaka husika hasa mh Waziri tunaomba msaada wako kutatua hili tatizo.
Kilichosemwa na Mamlaka ~ DAWASA: Tumeshughulikia changamoto ya bomba lililokuwa limepasuka Ukonga Mombasa