RESOLVED KERO Bomba kubwa la DAWASA limepasuka maneno Banana Ukonga mkabala na Aviation house toka mwezi wa nne

Imefanyiwa kazi au kupatiwa ufumbuzi na Mamlaka husika
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

ngawia

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
849
Reaction score
876
Bomba kubwa la DAWASA limepasuka maneno banana ukonga mkabala na Aviation house toka mwezi wa nne mpaka Sasa tumetoka taarifa DAWASA Kinyerezi na wamefika hakuna utatuzi wowote. Maji yanayomwagika ni Mengi na yanasambaa kwenye makazi ya watu

Mamlaka husika hasa mh Waziri tunaomba msaada wako kutatua hili tatizo.

Kilichosemwa na Mamlaka ~ DAWASA: Tumeshughulikia changamoto ya bomba lililokuwa limepasuka Ukonga Mombasa
 
Leo nilipita pale wanatengeneza
 
Kingeni maji ya bure hayo, Naskia huko daslamu maji n ishu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…