Tetesi: Bomba la mafuta, moshi mweupe waanza kufuka

Tetesi: Bomba la mafuta, moshi mweupe waanza kufuka

Taarifa za kina zinaeleza kuwa Baada ya Tanzania kutoa mada kwa Serikali ya Uganda ikiwemo Kina kirefu Cha Bandari ya Tanga chenye uwezo wa kuchua meli kubwa za mafuta,

... hii siielewi. ina maana bandari ya Tanga ina kina kirefu kuliko Lamu? Pale Tanga meli zinatia nanga km 8 hivi kutoka bandarini/mizigo huletwa bandarini na matishari
 
.. kuna suala la Uganda kuwa na utegemezi mkubwa kwa bandari za Kenya.

..Utegemezi huo unaathiri gharama za exports na imports za Uganda.

..huu ni mradi mkubwa. Ukienda kenya utaongeza mabavu ya kiuchumi ya nchi hiyo dhidi ya Uganda na Tanzania.

..mradi huu una athari kubwa na pana kwa muelekeo wa kiuchumi, kijamii, na kisiasa, ktk eneo la Afrika Mashariki.
Bora uje tz, manufaa yote yapatikane kwetu.....!
 
Bombs likipita Kenya alshabab watalipua Sikh ya kwanza tu
Wakenya wameshindwa kulinda RAIA wataweza kulinda bomba la mafuta
 
waaache ujinga kwanza hyo nchi ni koloni letu naomba heshima iwe mbele wakileta vyoko vyoko tunaweka kwanguvu hata wenyew wanajua historia yetu kidog tulimchapa idd
 
Wa

kenya walikuwa wajanja wakati TZ tulikuwa na uchumi. Wa kijamaa but now hawatuwezi katu.Tanzania iko na watu WA akili nyingi
walikuwa wanatuita a sleeping giant. Ila sasa ukikutana na mkenya yoyote anakwambia sasa hivi mmeamka na mankwenda kasi. kiufupi wakenya wako worried na Tanzania sana. Wanaona kama inakuja juu kiuchumi.
 
Bahati mbay umeandika kishabiki. Sababu ulizoeleza ndizo zilizopelekea Total kuamua hayo. Hapa kinachofanyika ni kubariki tu maoni ya wawekezaji ili kupunguza msigani wa kisiasa na kijamii kwa majirani.
Hata mi nafikiri waganda wameshaamua ila kwasababu walianza na Kenya basi wanataka watokane nao bila kuleta madhara ya kiuhusiano kwa kuzingatia ni majirani.
 
Tujiandae na polution kwenye ardhi. Angalia delta ya South Nigeria ambapo mabomba yanapita jinsi watu wanavyoteseka kukosa maji salama, samaki ambao ndo kilikuwa kitoweo kikuu na mazao yao kuungua sababu ya mafuta. Je watu wataelemishwa kwanza kabla ya bomba kupita?
 
Kwanza tuanze na hili

Uyu Wazili wetu pamoja na watumishi wengine wa wizara walipata kibali cha kusafili kutoka nje ya nchi kutoka kwa katibu kiongozi

Mhh sikua nimelifikiria hili .. laweza kuwa jipu ( joking bayamaa)
 
... hii siielewi. ina maana bandari ya Tanga ina kina kirefu kuliko Lamu? Pale Tanga meli zinatia nanga km 8 hivi kutoka bandarini/mizigo huletwa bandarini na matishari
wanazungumzia meli za mafuta, ila mimeli mingine mikubwa kama kisiwa cha pemba huwa hayaji ufukweni.
 
Kikubwa zaidi Baba wa Taifa aliwahi kumpatia Mseveni $15,000 kusaidi katika harakati zake dhidi ya Nduli Amin, juzi juzi hapa mlimsikia M7 akisema Kambarage alimpatia LandRover na kujaziwa mafuta bure kwa safari ya kwenda Uganda.

Hayo ni machache ya kumkumbusha M7 kuhusu Watanzania tunavyo jali binadamu wenzetu, Tanzania inakidhi vigezo vyote kuanzia kwenye topology litakapo pita bomba ni almost tambalale, tuna uzoefu wa kutandaza na ku-manage mabomba ya gesi na mafuta, vile vile hatuna tatizo la kiusalama, lakini mwisho wa siku Waganda na kampuni za mafuta ndio wenye final say wapi pa kupitisha bomba la mafuta - sisi hapa tulikuwa tunamkumbusha M7 kwamba zimwi likujualo......
KUmbe alipewa cash na full tank apa lazima kieleweke kwa kweli
 
Back
Top Bottom