Bomba la maji linapita katikati ya Kiwanja changu, nifanyeje?

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
wadau naombeni msaada nime nununa kiwanja toka halmashauri flan iv apa tz lkn ktk icho kiwanja limepita bomba la maji inch 4 sasa ktk situation kama iyo mwenye kuingia gharama ya kuliamisha ilo bomba anakuwa ni mteja au au aliyeuza ? naombeni msaada wadau nimekwama nashindwa kukiendeleza icho kiwanja maana gharama ya kuliamisha ilo bomba ni kubwa mnoo
 
itatakiwa ujue source kwanza ya uliponunua walipatanaje na halmashauri
 
itatakiwa ujue source kwanza ya uliponunua walipatanaje na halmashauri
Okay nashukuru ! ivyo viwanja vilipimwa na halmshauri ya mji wenyewe then mi nikaenda kununua direct kwao na wakati na nunua hawakusema kama pale pana bomba la maji thereafter nimepata kibali cha ujenzi ndio mwenyekiti wa serikali za mtaa ananiambia ilo swala mkuu nikahisi ni simple case unfortunately ni gharama kubwa yaan kuliamisha tu bomba yaani unajenga pagalu
 
hiyo itakuwa ni gharama zao pia wanaweza kukwambia kuna sharing cost , wote mtahusika
 
hiyo itakuwa ni gharama zao pia wanaweza kukwambia kuna sharing cost , wote mtahusika
dah hii nchi ndugu yangu ina mambo ya ajabu sana yaani huu ni utapeli wa mchana kweupe kabisa yaani ili swala lina disturb mind yangu sana .. natafakari nikalisemee kwa wizara husika.. au kwa waziri Jafo Selemani
 
Hebu nenda kaonane na Mkurugenzi wa Halmashauri husika kisha jibu lake linaweza kukupeleka kwa Jafo au Lukuvi
 
Hebu nenda kaonane na Mkurugenzi wa Halmashauri husika kisha jibu lake linaweza kukupeleka kwa Jafo au Lukuvi
okay ushauri ni mzuri mapaka nafikia hapa ndugu yangu nilisha mwandikia barua mkurugenzi akani shauri niwaone maofisa wake wa ardhi sasa maofisa wake wa ardhi wakaniandikia barua niende mamlaka inayo husika na maji ktk huo mji bac jamaa ndio waka piga hesabu na wakaniambia ilo bomba ni la miaka mingi na wao wanashangaa kwann iyo halmashauri walipima viwanja na kuuza ilihali pale limepita bomba la maji la nchi 4 . mi nimetafakari na kuona uamuzi mzuri ni wakumuona jafo amabye ndiye anaongoza TAMISEMIA halmashauri zote zipo chini yake ili ikiwezekana awawajibishenile lesson hata kwa wengine maana inaumiza sana mkuu
 
Tumia hiyo opportunity. Jiunganishie maji ulime bustani through out a year!
 
Waombe wakubadilishie kiwanja
Ukiwaomba wahamishe hilo Bomba ombi lako litakubaliwa Kwa Kuwa una haki hiyo tatizo litakuwa kwenye utekelezaji
 


Yaani we zoba kweli, sasa unashindwa nini kulikata? Likate then uje utupe ushuhuda hapa kwa kilichojiri na kama ikitokea polisi wanakuja kukukamata watishie kuwaua, watakuacha tu.
 
Waombe wakubadilishie kiwanja
Ukiwaomba wahamishe hilo Bomba ombi lako litakubaliwa Kwa Kuwa una haki hiyo tatizo litakuwa kwenye utekelezaji
Okay nashukuru sana kwa ushauri mzuri lkn mi nazani ni uzembe walifanya kupima viwanja na kuviuza ilihali vina additional cost kwa mlaji yaani ni uonevu
 
Waombe wakubadilishie kiwanja
Ukiwaomba wahamishe hilo Bomba ombi lako litakubaliwa Kwa Kuwa una haki hiyo tatizo litakuwa kwenye utekelezaji
Chukua huuu ushauri....hayo mambo ya kusemeana kwa Jaffo achana nayo mkuu unaweza ukaanzisha vita isiyoisha ikaja kukost maisha yako au ya familia yako. Omba ubadirishiwe kiwanja maisha yaendeleee.
 
Kwanini Bomba walipitishe kwenye uwanja wako? Komaa na halmashauri kama vipi wakubadilishie eneo,kamwe usikubali kutoa hata senti 5 kuhamisha hilo bomba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…