luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
wadau naombeni msaada nime nununa kiwanja toka halmashauri flan iv apa tz lkn ktk icho kiwanja limepita bomba la maji inch 4 sasa ktk situation kama iyo mwenye kuingia gharama ya kuliamisha ilo bomba anakuwa ni mteja au au aliyeuza ? naombeni msaada wadau nimekwama nashindwa kukiendeleza icho kiwanja maana gharama ya kuliamisha ilo bomba ni kubwa mnoo