Bombadier, kiukweli huu wimbo sijaelewa sentensi yoyote kwenye verses zake

Bombadier, kiukweli huu wimbo sijaelewa sentensi yoyote kwenye verses zake

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595


Naona jamaa wanacheza na Dully Sykes anacheka cheka tu wimbo mzima.

Aliyeelewa anisaidie hata baadhi ya sentensi alizozielewa
 
Wengi wa hawa jina wetu, nyimbo zao nyingi si zakujadiri. Na pia kwenye nyimbo ushabika tunatofautiana, ndiyo maana wengine tunapenda nyimbo za kikongo (bolingo) japo hatujui wanaimba nini
 
Back
Top Bottom