joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kama kawaida yako, kichwani hamna kitu kabisa, hivi unajua kwamba LDC ni function ya economy pekee?, LDC ni subset ya failed state?. LDC ni disease wakati failed state ni syndrome. Kifupi ni kwamba kuwa failed state ni sawa na kuwa na AIDS, wakati LDC ni sawa na kuwa na Malaria.Afadhali niwe citizen wa failed state yenye ni middle income kushinda kuwa citizen wa nchi yenye asali na maziwa yenye ni least developed country, Yaani LDC