Bombardier iliyokuwa imeshikwa imeanza safari kutokea Canada to Tanzania.

Afadhali niwe citizen wa failed state yenye ni middle income kushinda kuwa citizen wa nchi yenye asali na maziwa yenye ni least developed country, Yaani LDC
Kama kawaida yako, kichwani hamna kitu kabisa, hivi unajua kwamba LDC ni function ya economy pekee?, LDC ni subset ya failed state?. LDC ni disease wakati failed state ni syndrome. Kifupi ni kwamba kuwa failed state ni sawa na kuwa na AIDS, wakati LDC ni sawa na kuwa na Malaria.
 
Ni kusema kwamba kenya mlipokuwa LDC mlikuwa wa wagonjwa wa AIDS
 
sasa hasira ya nini huku ninawapongeza mkuu?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€mmepata ndege yenu angalau ije isaidie nchi..sio kukaa kwenye garage ya ng'ambo inamea kutu bure
Mmemfanya nn aliyesababisha ikamatwe,
 
mliagiza lini B787? Kama mliagiza mwaka huu muingojee 2021, kama ni 2017 mtaingoja hadi 2020. Mnadanganywa virahisi kama wadanganyika kwa nini? It takes 2years from point of ordering to delivery.

Stupid you, aibu yako sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…