eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
le me help you, weee kwa akili yako unafikiri miaka ya nyuma Tanzania haikuwa na madeni au mikataba kuvunjwa?? lkn uliwahi sikia attachment ya mali zetu zilizoko nje?? kwa nini hii kamata kamata ya mali zetu inatokea kipindi hiki??shallow analysis
the answer is because of the economic liberation. tuko vitani kupigania uchumi wetu, vita ambayo inawagusa watu wengi wakubwa. mathalani, kule kitendo cha kutaifisha almasi hakiwezi kuwafurahisha mabepari. lazima watafanya jambo la kuwakwamisha ili kuwavunja nguvu.