Bombardier matatani konoike company wanaitaka wafungua kesi kutekeleza hukumu

shallow analysis
le me help you, weee kwa akili yako unafikiri miaka ya nyuma Tanzania haikuwa na madeni au mikataba kuvunjwa?? lkn uliwahi sikia attachment ya mali zetu zilizoko nje?? kwa nini hii kamata kamata ya mali zetu inatokea kipindi hiki??
the answer is because of the economic liberation. tuko vitani kupigania uchumi wetu, vita ambayo inawagusa watu wengi wakubwa. mathalani, kule kitendo cha kutaifisha almasi hakiwezi kuwafurahisha mabepari. lazima watafanya jambo la kuwakwamisha ili kuwavunja nguvu.
 
kijakazi wa mafisadi. hamna chenu sasa, ile kazi yenu ya kutumwa kupeleka manunuzi kwa nyumba ndogo za mabosi.
Mimi mchimba makaburi, usinitanie hata kidogo.
 
Mikataba alivunjwa kwa kufuata taratibu za kimikataba! Siyo kama hivi, leo hakuna kupeleka makinikia nje
 
tanzania haijawai agiza mali ya garama kama bombadier moja kwa moja bila mikopo au misaada ndo maana wameikamata bombadier kwa sababu imenunuliwa kwa hela za serikali bila mikopo au misaada
 
tanzania haijawai agiza mali ya garama kama bombadier moja kwa moja bila mikopo au misaada ndo maana wameikamata bombadier kwa sababu imenunuliwa kwa hela za serikali bila mikopo au misaada

vipi kuhusu mali zetu zilizoko nje kama majengo ya barozi zetu. kwa nini hawakukamata hizo??

ok on other hand, the guy is good coz managed to buy the assets on cash which is good.
 
Rais kasema kua karibuni tutaanza kuwapa wazungu misaada,wachukue tu chao mapema kabla hatujaanza kugawa misaada ulaya.
 
Umesahau na serikali inaongoza ka kupiga minada mali za wananchi wake ? Sheria ni msumeno lipen deni acheni porojo
 

Haya mambo tuliambia hata wakati wa ukombozi kusini mwa Afrika, kwamba tukijingiza kwenye hayo mambo, makaburu na wakubwa wa Ulaya wataumaliza. Hatuwezi kupata mapinduzi bila vodonda, tutajeruhiwa mwisho wa siku tutajuwa tumevuna nini. Tanzania ndio imeshawasha moto, nchi zingine za Afrika kama Mali Zambia na wao wananza kupata msisimuko wa kudai kilicho chao .
 
Ni [HASHTAG]#Balaa[/HASHTAG] au [HASHTAG]#Laana[/HASHTAG]?
 
Konoike company washafungua kesi kutekeleza hukumu ya kuichukua bombardier kutokana na kuvunjwa kwa mkataba na tanroad ya tanzania. Utaratibu wa kuizuia bombardier canada unaanza.
Source:the citizen tanzania, konoike Company

Ilikuaje Tukalipa cash? Maana yungelipa kidogo ukamataji huu usingewezekana!
 
Hawana uwezo wa kuishika ikiwa bado iko Nje ya nchi

Maana bado hatujakabidhiwa
 
Hivi walioingiza Tanzania kwenye mikataba mibovu na madeni ni upinzani ? Mnavyo comment ni kama vile Hii nchi ilikuwa ikitawaliwa na vyama vya upinzani toka ipate uhuru. Hebu oneni aibu jinsi mnavyochangia !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…