Bombardier na Boeing zimepaki Wakati Simba SC Wakitumia Kenya Airways na Ethiopia Airways kwenda Nigeria

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
15,835
Reaction score
23,776
Simba Sc klabu " Baba la Baba " likiwa linakwenda cheza mechi za kimataifa huko Nigeria na Plateu FC, inatarajia kuondoka Leo 24-11-2020 11:45 jioni kutokea Mkoa uliotengwa kimaendeleo kwa wivu wa flani [KILIMANJARO] kwa ndege ya KENYA AIRWAYS.

Simba Fc watapita Nairobi na baadae wata-unga mpaka Ethiopia, {kuna mapigano kati ya Serikali ya Abey na wanyonge wa Tigrey] na hapo Ethiopia simba watalala na kuondoke kwenda Aabuja Nigeria siku inayofuata kwa ndege ya ETHIOPIA AIRLINE.

Wakati Tanzania tukijigamba kuwa na ndege inayotoka DAr mpaka Mumbai bila kutua hata kituo kimoja imeshindwaje kuwakodishia simba ndege hiyo waende Nigeria moja kwa moja kupunguza gharama za kuzunguka nchi zaidi ya tatu?

Ukiangalia kwa umakini utagundua ATCL hawana Marketing Managers wala officers, ni waru flani walichomolewa kindugu wakapachikwa hapo lakii hawana strategy yeyote kabisa.

inasemekana Mo-Dewji [Mdosi] alikuwa akiwasilina nao lakini wakadengua na hivyo akaamua kuendelea na maisha yake.

C.EO wa Simba Barbara Gonzalez ambaye pia inasemekana so far ndio "pisi kali kwa Tanzania" alijaribu kuomba ndege kutoka ATCL ikashindikana, siyo kwa msaada, hapana kwa kukodisha.

Nawapongeza wote mliojitahidi kutafuta ATCL na pia maafisa wa ATCL ofisi kuu ya Ohio mnakula mshahara na kutembelea magari mazuri lakini hamna mnalofanya, shirika linahitaji overhaul, ninyi mpangiwe kazi nyingine, hata kwenda kufundisha VETA huko Katavi hazina walimu.

Mungu ibariki simba ishinde 2-0.







Wenzetu PRECISION waliposikia Mawakili wanakwenda Arusha kwenye semian zao na mbuga za wanyama, wamewafuata TLS na kuwaomba na kuwapa OFA MAALUM ya ndege tena kwa muda ambao mawakili wanataka, hapo CEO wa ATCL kalala tu ofisini anahesabu maghorofa ya posta pale ATC HOUSE.


Leo 18-12-2020 kwa Aibu kubwa sana Imilijpekea kwa SIMBA SPORTS CLUB na kuomba kuwasafirisha hadi Zimbabwe, tena imekodiwa na itawasubiri huko mpaka baada ya mechi.
kuna watu walipinga sana ETI ATCL ina wataalamu wa biashara na hawawezi kodishia simba leo hii aibu imewapata, Simba wamekodisha baada ya kuombwa na ATCL.
 
Waulize Simba na mmiliki wake Mo je walienda kukodi ndege Atcl wakakataliwa?
Soma post vizuri, Simba wamefanya official communication na ATCL muda mrefu tu na hakuna jibu, in short , kile ni kama kilinge, genge la kufurahisha watawala na si wafanya biashra wanaotafuta Faida.

Namungo nao Watatumia KQ na Ethiopia airways , kwa ujinga wa Ma-afisa wa ATCL huku ndege zetu zikiwa zimepaki uwanjani na kuingiza hasara za mabilioni kila siku.
 
makonda huyu-huyu?
Naam, ana kitu cha ziada, ni kama Shigongo ambaye ni muandishi nguli lakini ni LASABA , wakati tuna maprofessa wa jalalani hawana mchango kwa taifa isipokuwa kuleta mitafaruku na migogoro ya kidiplomasia kila uchao.

Note:shigo ngo amepata shahada ya kwanza juma hili chuo cha Kilutheri Dar es salaam.
 
Bombadier haina uwezo wakufly Tz to Lagos ila BOEING 787-8 ambayo inabeba watu zaid ya 200 imebebe watu 20 kwenda Lagos mtalipishwa bei gan?
Simba ni moja ya klabu kubwa Afrika, mambo ya hela usiulize, mshahara wa Chama wa miezi 4 tunalipa ndege hiyo.
nina wasiwasi wewe utakuwa afisa wa ATCL unatafuta pa kujishikiza.
 
Mkuu tambua atcl sio shirika la ndege la Mwamedi, haliwezi endeshwa Kama mnavyoendeshwa nyinyi
 
Details za official communication
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…