King Kisali
JF-Expert Member
- Nov 20, 2019
- 1,041
- 1,349
Used scraper utapanda itakufikisha wapi ? Congratulations Mr ndege used .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unazungumzia marketing, mimi nazungumzia ukweli wa atcl kufuatwa na kukataa! Hivyo ni vitu viwili tofauti. Majadiliano yenye weledi na staha hujikita katika hoja iliyotolewa na sio kutoa chochote. Zingatia hilo kwa faida yako ya usoni katika mijadala.Unajua maana ya marketing kwa taasisi zilizomakini? kitendo cha kupata taarifa kua Simba wanataka kusafiri kwenda Abuja ilitosha kwa Atcl kuwafuata ili wafanye biashara siyo Simba mteja kumfuata Atcl.
Jamani kuna majengo makubwa yanajengwa lakini makampuni yanayouza Makangavuke wanakwenda kufanya lobbing kwa client ili wapewe dili.
Badilikeni basi siyo lazima Simba wawafuate Ofisini mwenu.
Kwahiyo unamshusha hadi yule umpendaye? Duh Wabongo!Kunogesha, ukipinga Barbara Gonzalez siyo pisi kali lete ya kwako , natural hair and skin tulinganishe japo hoja ni ATCL.View attachment 1633499
aiseeHii nchi haifiki, Walahi! Hadi tutakapopata wasomi wa kweli. Kwa hivi ilivyo, na ukifuatilia majadiliano ya hapa.....naamini kwamba mtu mjinga wa Uturuki ni sawa na University graduate wa TZ!
asante sana mdau, wewe unaelewa biashara, tena sana.Unajua maana ya marketing kwa taasisi zilizomakini? kitendo cha kupata taarifa kua Simba wanataka kusafiri kwenda Abuja ilitosha kwa Atcl kuwafuata ili wafanye biashara siyo Simba mteja kumfuata Atcl.
Jamani kuna majengo makubwa yanajengwa lakini makampuni yanayouza Makangavuke wanakwenda kufanya lobbing kwa client ili wapewe dili.
Badilikeni basi siyo lazima Simba wawafuate Ofisini mwenu.
Kila la heri watani, mkionyesha juhudi Mungu atawasaidiaPovu lote hili ni Simba kupanda ndege? mbona ni kawaida yao?
umekomaa sana wana Yanga, na nyie safari njema ya CHAMAZI.Kila la heri watani, mkionyesha juhudi Mungu atawasaidia
Simba Sc klabu " Baba la Baba " likiwa linakwenda cheza mechi za kimataifa huko Nigeria na Plateu FC, inatarajia kuondoka Leo 24-11-2020 11:45 jioni kutokea Mkoa uliotengwa kimaendeleo kwa wivu wa flani [KILIMANJARO] kwa ndege ya KENYA AIRWAYS.
Simba Fc watapita Nairobi na baadae wata-unga mpaka Ethiopia, {kuna mapigano kati ya Serikali ya Abey na wanyonge wa Tigrey] na hapo Ethiopia simba watalala na kuondoke kwenda Aabuja Nigeria siku inayofuata kwa ndege ya ETHIOPIA AIRLINE.
Wakati Tanzania tukijigamba kuwa na ndege inayotoka DAr mpaka Mumbai bila kutua hata kituo kimoja imeshindwaje kuwakodishia simba ndege hiyo waende Nigeria moja kwa moja kupunguza gharama za kuzunguka nchi zaidi ya tatu?
Ukiangalia kwa umakini utagundua ATCL hawana Marketing Managers wala officers, ni waru flani walichomolewa kindugu wakapachikwa hapo lakii hawana strategy yeyote kabisa.
inasemekana Mo-Dewji [Mdosi] alikuwa akiwasilina nao lakini wakadengua na hivyo akaamua kuendelea na maisha yake.
C.EO wa Simba Barbara Gonzalez ambaye pia inasemekana so far ndio "pisi kali kwa Tanzania" alijaribu kuomba ndege kutoka ATCL ikashindikana, siyo kwa msaada, hapana kwa kukodisha.
Nawapongeza wote mliojitahidi kutafuta ATCL na pia maafisa wa ATCL ofisi ku ya Ohio mnakula mshahara na kutembelea magari mazuri lakini hamna mnalofanya, shirika linahitaji overhaul, ninyi mpangiwe kazi nyingine, hata kwenda kufundisha VETA huko Katavi hazina walimu.
Mungu ibariki simba ishinde 2-0.
Wakumpongeza hapa ni Rais wetu mpendwa John Pombe Magufuli aliyenunua madege ya Magufuli, akaanzisha ATCL badala ya ATC, akateua CEO na watendaji Wakuu na akateua Bodi ya Wakurugenzi, kwa kutotoa agizo toka juu, huwa ni Sheria, dege moja liwapeleke Simba. Pia pongezi zimwendee CEO ambaye hakujipendekeza kwa aliyemteua kuruhusu Simba wapelekwe Nigeria kwenda kufungwa na kurudi wakilalamika Uwanja haukuwa mzuri. ATCL ina madege aina tatu, ya kwanza Bombardier inachukua abiria 75, ya pili Airbus inachukua 130 na ya tatu Dreamliner inachukua 262, aina zote tatu zinauwezo wa kufika Abuja na kurudi. Simba inakwe Abuja, Nigeria na wachezaji 11 watakaocheza na kufungwa kwa dakaki 90 tu na kugeuza kurudi wakiimba kujisifu waluvyocheza vizuri ingawa wamefungwa kwa sababu ya Uwanja. Kenya Airways na Ethiopian moja kwa moja au kwa kuunganisha zana safari za kawaida kwenye ruti hiyo na nauli kwa kila abiria hata ATCL wanaojua kwa sababu ni ya IATA. ATCL ni Shirika la Safari za Anga na madege yake ni ya abiria lakini halitoi huduma kwenye ruti hiyo ingawa madege yapo yamepark yakingoja safari lakini yanaweza kukodishwa. Simba wanatakiwa kwenda Mwanza na wachezaji 11 basi lao limeharibika wanakodi basi la Musukuma Bus Service la abiria 65 lakini Simba wanakwenda na wachezaji 11 tu washangiliaji wanachama wao watawakuta huko. Musukuma nauli yake ni sh. 30,000 kwa kiti anadai sh. 1,950,000 kwa viti 65 na kwa kuwa Simba wamekodi basi lote wanakubali kulipa na kwenda kufungwa wakilalamika Uwanja wa Kirumba siyo mzuri. Yanga wanapeleka timu ya wachezaji 11 Mwanza kwa mchezo wa Jumamosi kwa basi la Musukuma walikopata nafasi maana madege yamepark mpaka wiki ijayo maana yanaenda mara moja tu kwa wiki yakingoja kwenda London na China. Yanga wanalipa nauli sh. 330,000!
Kwa biashara ipi?Na jamaa anasema tutaongeza zingne kama tano hivi...
Inafurahisha sana kuwa na rafiki Jaji Mfawidhi ila urafiki usiishie humu JF bali uendelee mpaka Mahakamani nikiswekwa kwa Uhujumu Uchumi kwa kuunga mkono Upinzani. Ukweli unabaki palepale watakao cheza na kufungwa ni 11 tu hao 13 wengine wanaweza kurudi bila kuhusa mpira na hao wa bench hawafui dafu kwa Wanaijeria kwa juju. Utakuwa ujinga wa hali ya juu kwa agizo toka juu kupeleka watu 35 kwa dege la kukodi la abiria 262 na scheduled flights za mashirika ya ndege ya nchi zingine zipo na nauli moja ya IATA. Ingekuwa siyo Jaji ningeamini wewe ni CCM damudamu!MATAGA, wewe ni rafiki yangu ila umekosea sana waTanzania wazalendo kwa kumpaka mafuta CEO wa ATCL kwa chupa ya mafuta.
SIMBA imepeleka wachezaji 24 na siyo 11 kama ulivyohemka, bao kuna viongozi na enchi la ufundi wanafika 35.
simba haijaomba hisani kwa CEO wa ATCL ila ilitaka kuiungisha biashara serikali, thats all!
Sasa MATAGA mnahisi kwamba ilikuwa ni kuomba lifti, ume noooooo!
Wakiambiwa Atcl ni genge la wapiga mapambio kwa watawala wanaanza kututeka, Shirika gani kila kitu wanangoja wapate ruhusa kutoka juu, kwanza hawajiamini kufanya maamuzi ! Gademiti hongera simba kwa maamuzi magumu wacha waendelee ndege zao kuzipamba airport! Wanazipanga kama zipo maonyeshoSoma post vizuri, Simba wamefanya official communication na ATCL muda mrefu tu na hakuna jibu, in short , kile ni kama kilinge, genge la kufurahisha watawala na si wafanya biashra wanaotafuta Faida.
Namungo nao Watatumia KQ na Ethiopia airways , kwa ujinga wa Ma-afisa wa ATCL huku ndege zetu zikiwa zimepaki uwanjani na kuingiza hasara za mabilioni kila siku.