Bomoa bomoa jioni hii mabwepande!

Bomoa bomoa jioni hii mabwepande!

bigcell

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Posts
219
Reaction score
60
Wakuu wana JF wakati nikiwa natokea Mabwepande kumsabahi jamaa zangu mida ya saa 11:30 jioni nilikuta tingatinga likivunja nyumba za Watanzania ambao walivamia maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya waathirika wa mafuriko kule Jangwani. Inasikitisha sana maana kwa maelezo niliyopewa na wananchi wa hapo Mabwepande ni kwamba watu walikwisha kuambiwa kuwa waahame miezi mi3 iliyopita lakini walikaidi mwishowe ndo yametokea hayo ya kubomolewa.


source; Ni mimi mwenyewe.
 
CCM oyeeee......
Mmetuvunjia Jangwani, hamjaridhika.....
Mmetufuata hadi huku mliko tuleta nyie wenyewe
 
Back
Top Bottom