Bomu Jipya GBU-72 lililongusha majengo ya Hezbollah ni Jipya, lingine pia lipo njiani kufumua mahandaki yenye hazina ya Silaha. maeneo hayo hayo

Bomu Jipya GBU-72 lililongusha majengo ya Hezbollah ni Jipya, lingine pia lipo njiani kufumua mahandaki yenye hazina ya Silaha. maeneo hayo hayo

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
14,809
Reaction score
11,825

New ‘bunker buster’ bombs used in Beirut attack​

Bomu limeetoa moshi wa rangi ya Chocolate - This is why Iran hataki War na Israel anawatumui Arabs wajinga wake.

Bomu hilo halijawahi tumika kabla kilo 2,200 lilianza kuundwa Mwaka 2021

Elijah Magnier, a military analyst, says the ordnance used by Israel in its latest attack on Beirut is a “very new type of bomb” – the GBU-72.
The weapon is “an advanced 5,000-pound [2,200kg] bunker buster that was created in 2021”, Magnier told Al Jazeera.

The bomb has not been used in the past for the “same objective”, he said, suggesting Israel wanted to “confirm the kill and wanted to make sure nobody is going to be alive”.

It was dropped with a fraction of delay, which allowed the bomb to reach the bunker under the ground and bring down entire structures, Maginer explained.

“We’re talking about four to six buildings, that is several bombs of this calibre used against one target. It means it was a very high, valuable target – as the Israelis believe it was.”
 
Hata liwe lina uzito wa ton 2000 ndio nini. Mimi naona hawana jipya 😄
Kwanini huombolezi Mfiwa utakuwa msaliti wewe ndio maana kila siku nakuita ni fake muslim.. Umewachuza wenzako mabichwa yao yakawa makubwa now hamna wa kumzika mwenzie.. Iran yuko pembeni akiwachombeza eti wa replace makamanda wengine mean hata Nasra Allah nae kasepeshwa let wait final news
 
Hamas ndiyo wapiganaji Bora sio hawa mafala wa Hezbollah yaani ndani ya wiki washapotea, waende kujifunza Kwa SINWAR huyu jamaa yupo Hadi Leo Toka vita ya Gaza imeanza anadunda Tu
Hamas tuwape Maua Yao sio hawa mafala kutoka Lebanon
Halafu hao ndiyo walikuwa wanaaminiwa kichizi na wale ndugu zetu. Hao ndiyo kama kuna sehemu aliwekeza basi ni kwa hao jamaa. Wakawa wanashinda wana ripuaripua mabanda ya kuku ya Israel na kusumbua ving'ora.
 
Kuna yale majinga mengine ya Houthi nayo! Naona wamesitisha kurusharusha vibaruti vyao kuelekea nchi takatifu!
 
Halafu hao ndiyo walikuwa wanaaminiwa kichizi na wale ndugu zetu. Hao ndiyo kama kuna sehemu aliwekeza basi ni kwa hao jamaa. Wakawa wanashinda wana ripuaripua mabanda ya kuku ya Israel na kusumbua ving'ora.
Iron Dome itapumzika baada ya kazi kubwa since October 7th.
 
Back
Top Bottom