Bomu la machozi au Risasi ya moshi neno lipi sahihi.

Bomu la machozi au Risasi ya moshi neno lipi sahihi.

Focas Kamali

Member
Joined
Jun 13, 2012
Posts
12
Reaction score
3
Tujadili hili; katika harakati, mikusanyiko au hata maandamano yasiyoruhusiwa askari watajaribu kutawanya wahusika kwa kutumia 'mabomu ya machozi? au risasi za moshi?'. Maneno yapi huenda yanastahili kutumika.?
 
Back
Top Bottom