Focas Kamali
Member
- Jun 13, 2012
- 12
- 3
Tujadili hili; katika harakati, mikusanyiko au hata maandamano yasiyoruhusiwa askari watajaribu kutawanya wahusika kwa kutumia 'mabomu ya machozi? au risasi za moshi?'. Maneno yapi huenda yanastahili kutumika.?