F Focas Kamali Member Joined Jun 13, 2012 Posts 12 Reaction score 3 Jun 3, 2014 #1 Tujadili hili; katika harakati, mikusanyiko au hata maandamano yasiyoruhusiwa askari watajaribu kutawanya wahusika kwa kutumia 'mabomu ya machozi? au risasi za moshi?'. Maneno yapi huenda yanastahili kutumika.?
Tujadili hili; katika harakati, mikusanyiko au hata maandamano yasiyoruhusiwa askari watajaribu kutawanya wahusika kwa kutumia 'mabomu ya machozi? au risasi za moshi?'. Maneno yapi huenda yanastahili kutumika.?
swissme JF-Expert Member Joined Aug 15, 2013 Posts 13,663 Reaction score 19,894 Jun 3, 2014 #2 Ceasefire
kuchangumu JF-Expert Member Joined Apr 2, 2014 Posts 724 Reaction score 290 Jun 3, 2014 #3 Gesi ya kutoa machozi