Bomu la Nyuklia: Jielimishe hapa

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
17,048
Reaction score
22,790
Ninaanzisha thread hii ili kuwakaribisha wataalamu wa Nuclear phyiscis watupe elimu kuhusu Nuclear energy.

Bomu la nyuklia hutengenezwa kutokana na madini yenye asili ya Radioactive kama vile Uraninum au Plutonium. Madini haya yana tabia kuwa yakistuliwa kidogo tu basi yanaanza process inayoitwa nuclear fission ambapo hupasuka vipande vidogo vidogo huku yakiwa yaanaachia joto jingi sana.

Madini ya uranium yana mifumo (isotopes) mbili, Uranium U-235 na Uranium U-238. Mfumo wenye nguvu za nuklia nie ule wa U-235, hata hivyo madini ya uranium ya asili kama yanayochimbwa hapa kwetu yana kama nusu asilimia tu ya U235, wakati asilimia karibu 99.5 ni U-238.

Bomu moja la Nyukilia huhitaji U-235 kama kilo hamsini hivi hivi, kwa hiyo ili kuzipata hizo kilo hamsini inabidi uwe na uranium asili zaidi ya tani mia moja halafu uichuje kwa kutumia chekecheo ziitwazo centrifuge ili kuondoa U-238 ambayo ni nzito kidogo na kuacha U235 ambayo ni nyepesi. Kuchuja tani moja ya Uraniuma inaweza kuchukua miaka miwili au hata mitano kutegemea na ubora wa centrifuge ulizo nazo.

Ukishaweka U235 iliyochujwa mahali palipotulia, unachohitaji ni kuidisurtb kidogo tu hata kwa kuiangushia mchanga, halafu yenyewe inaaza nuclear fission inayosababisha kitu kinaitwa chain reaction ambayo hutoa joto kali sana na kuunguza kila kiliocho hapo katika maeneo yake. Nguvu za nuklia hutumia joto hilo badala ya makaa ya mawe kuchemsha maji kutoa mvuke wa kuendesha mashine za kufua umeme.

Yale mabomu ya atomiki yalioangusha Nagasaki na Hiroshima yaliuwa watu kwa sababu ya joto ikafikia hata mifupa ya watu ikiwa inayeyuka kwa sababu ya joto. Mabomu conventional yanayotumia baruti huua watu na kubomoa majengo kwa ajili ye pressure lakini Nyuklia huwasha moto tu.

Wana fizikia wa nuklear physiscs ingieni hapa mtupe elimu kuhus nishati hii inayoogopwa duniani kote.
 
Mmmh! umenikumbusha mbali sana "terminologies" hizo. Mara nuclear fusion, isotopes e.t.c. Mimi hapa cna msaada kwakweli (zaid ya "likes" na kuwafagilia kina Gay-Lussac!, bhaaas!).

Natamani Dr.Ghalib Bilal (V.President) angekuwa humu ndani. Ni moja ya watanzania nadra sana wenye Elimu & Kisomo cha mambo haya.

Respect!
 
Hana lolote huyo VIP Bilal kitabu gani kaandika
 

Siasa yalipa yakhee.
 
Uko sawa mkuu, mambo ya isotopes hayo, stable and unstable nucleus.....
 
Inakuwaje nuklia ikaketa madhara ya kigenetic?

Nuclear fission inaambatana na kutoa miyonzi ya aina tatu...Alpha,Beta na Gamma radiations....jaribu kufuatilia effects za hii miyonzi labda utapata unachokitaka. (Genetic mutation,)
 
Hawa watu walobuni hizi silaha Kali mi huwa nawalaani siku zote, hivi fikiria silaha kama nyuklia ikishikwa na mtu mwovu au gaidi unadhani kipi kitatokea!!??.
Hawa wanasayansi hawakujifikiria kabisa!!, yaani silaha ambayo hata mwenye nayo anaiogopa duh!!, sasa alitengeneza ya nini??, kuna silaha nyingine hatari sana pia kama mabomu ya phosphorus, za kibailojia kama ebola nimesikia ati ni aina ya silaha ya kibailojia, ebu tujuzeni jamani. Wanadamu wamekuwa waovu kupitiliza..
 

hahaaaaaaahaaa umenikumbusha shuleni KIBAHA, kuna mwalimu mmoja alikuwa anapenda kusema "SI MNAJUA KICHAA AKIPEWA RUNGU ALINDE SEHEMU FULANI INAKUAJE"

nazani hii nuclear ni zao la ALBERT EINSTEIN

.made in mby city.
 
hizo makitu wakijua kutengeneza hawa ndugu zetu wa damu si watatumaliza??

hao makundi ya kiisilamu ya kigaidi
 
Hivi ni nchi gani inayoongoza kwa utengenezaji wa mabomu ya nyuklia duniani???
 
Hivi ni nchi gani inayoongoza kwa uzalishaji wa mabomu ya nyuklia duniani????
 
asante kwa utilio wenye manufaa kwa jamii ya wana sanaaa"w
azee wa history" na wana sayansi "wazee wa chemistry na physics " .

 

Attachments

  • dy.jpg
    28.9 KB · Views: 954
U 235 ni noma,nikumbushe nusu maisha yake(half life) ni miaka ngapi vile?
 

Kuna chain reaction inayofanya kwenye vyungu vyao huko mkuu. Kuna kitu bombardment reation, kwenye atom ya U, inaongezwa Proton au netron ili kuifanya isiwe stable hii kitu itajigawa kuzalisha atom nyingine plus proton au netron nyingine ikitegemea imekuwa bombard na nini ila kinacho zaliwa kipya ni Energ kubwa sana, kama hii reaction isipo kuwa contorled italeta shida. Kama chain reaction ikiendelea basi tegemea energy kubwa sana ambayo inaweza kufanya hayo uliyo yasema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…