Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Ni russia ndo wana makombora mengi zaidi ya marekani,na pia karibuni wamekua wakiya advance.japo marekani nao wanafuata kwa karibu sana.United States of America
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni russia ndo wana makombora mengi zaidi ya marekani,na pia karibuni wamekua wakiya advance.japo marekani nao wanafuata kwa karibu sana.United States of America
Hilo ni tactical nuclear weapon na si strategy nuclear weapons kama ICBM,SLBMKitu cha mrusi hicho, kinaitwa Tsar Bomb. Ni bomu lenye nguvu zaidi
Not south,it is north korea.
na si big stockpile.
Ameshafanya underground test,so tayari,japo hajaweza kufanya jaribio la kombora la nuclear.North Korea washatengeneza au wako kwenye process?, naomba mnijuze, maana huwa nasikia nae akituhumiwa kama Irani.
.![]()
Hili ndo S-88 SATAN ,Intercontinental Balistic Missile,most powerfull and hard to counter missile.
range ni kilometa 11,000.
linakua na vichwa(warhead)10 ambavyo ni MIRV(Multiple independent reentry vehicle).kwamaana likifika anga za juu vile vichwa vinatengana na kurudi ardhini vikijitegemea,kila kichwa na shabaha yake.
pia linakua na decoy kama 40,hizi decoy ni vichwa boya,ama fake vya kupoteza boya kama kunakua na makombora ya kuyadungua ama ABM,(Anti ballistic missile).
kombora moja tu laweza teketeza miji(city) mitatu
Nasikia Bomu la Hydrogen lina nguvu kubwa zaidi kuliko hata hilo la nyuklia wanaloliogopa? wenye kufaham watujuze?
North Korea washatengeneza au wako kwenye process?, naomba mnijuze, maana huwa nasikia nae akituhumiwa kama Irani.
Kwanza hii topic haihusiani na mtu au elimu yake, topic ni NUCLEAR BOMB, haya ya kuwataja watu au mtu na elimu yake sidhani kama hapa ni mahala pake! Kama hujui chochote kuhusu topic bora kukaa kimya, hayo ni mawazo yangu.
.![]()
Hili ndo S-88 SATAN ,Intercontinental Balistic Missile,most powerfull and hard to counter missile.
range ni kilometa 11,000.
linakua na vichwa(warhead)10 ambavyo ni MIRV(Multiple independent reentry vehicle).kwamaana likifika anga za juu vile vichwa vinatengana na kurudi ardhini vikijitegemea,kila kichwa na shabaha yake.
pia linakua na decoy kama 40,hizi decoy ni vichwa boya,ama fake vya kupoteza boya kama kunakua na makombora ya kuyadungua ama ABM,(Anti ballistic missile).
kombora moja tu laweza teketeza miji(city) mitatu
ni hatari sana,hebu chukulia tu,lile bomu moja lilopigwa kule hiroshima japan,lilikua na uwezo wa kiloton 15,na likaleta madhara hayo.Hii ni hatari!! Eh mungu nakuombs usije usije ukaruhusu vita kati ya us na urusi.
Hawa watu walobuni hizi silaha Kali mi huwa nawalaani siku zote, hivi fikiria silaha kama nyuklia ikishikwa na mtu mwovu au gaidi unadhani kipi kitatokea!!??.
Hawa wanasayansi hawakujifikiria kabisa!!, yaani silaha ambayo hata mwenye nayo anaiogopa duh!!, sasa alitengeneza ya nini??, kuna silaha nyingine hatari sana pia kama mabomu ya phosphorus, za kibailojia kama ebola nimesikia ati ni aina ya silaha ya kibailojia, ebu tujuzeni jamani. Wanadamu wamekuwa waovu kupitiliza..
»More drama than president with north korea-Nas
»Mbali na kuunguza kwa joto,pia nuclear bombs zinasababisha kitu kinaitwa "Gene-mutation" yani zinabdilisha genes ambazo zinatoa structure halisi ya mtu,ndio maana mpaka kesho japan watoto wanazaliwa na macho matatu,miguu minne au sehemu za siri tatu etc,naungana na marekani katika vita ya kupambana na nchi zinazotengeneza nuclear bombs.
hizo story za watoto wa japan kuzaliwa na macho 3 etc naonaga kama story za vijiwen tu, najua bomu liliacha madhara lkn sio hayo ya mzaha mzaha mnayotuambia