Bomu la Nyuklia: Jielimishe hapa

hivi hapa bongo si kuna uranium?
kwa nini tusimtumie bilal kuzalisha Atomic?
 

Kwani ISS ndo iko juu zaidi? mbona hio ni low orbit earth ambapo hata communication satellite zipo juu zaidi ya Hicho kituo
 

Mkuu una elimu gani wewe?
Chernoby kilikuwa ni kinu cha kuzalisha umeme, halikuwa bomu, na hata Japani walisha pata madhara kama hayo, Halafu Russia hajawahi tumia hata kichwa kimoja cha Nuclear kwenye vita, so uikurupuke mkuu
 
Along Dr. Bilal wana vyeti tu lakini hawajui lolote linaloendelea nje ya CCM!
 
nahisi atakuwa ameshasahau sasahivi,..fisiem washamjaza fix na propaganda zakina Nnauye,..wacha mchezoo kabisa
 


Hata Marekani pia amekopi kila kitu hasa kwenye mambo ya space technology kutoka Ujerumani kuwa sahihi zaidi Ujerumani ya Hitler, wanasayansi wa Hitler ndiyo baba au unaweza kusema mama wa missile technology kwa kifupi NASA imeweza tu kuwa jinsi ilivyo kwa kuiba au kupora teknologia na wahandisi na wanasayansi wa ktk Ujerumani!

Hata Nuclear science ambayo ndiyo imepelekea kuundwa kwa Bomu la Atomiki iliwezekana kwa sababu Marekani alichukuwa wanasayansi wengi sana ktk Ulaya kama vile kina Enrico Fermi ktk Italia, Einstein ktk Ujerumani, Leo Szillard ktk Hungary na wengine wengi ambao ndiyo waliounda Manhattan Project!

Hivyo swala la kusema kwamba Urusi wameiba Teknologia ya Mmarekani SIYO kweli bali wote wawili Urusi na Marekani wameiba teknologia na wanasayansi wengi sana baada ya Vita Kuu ya Pili kuisha teknologia ktk Ujerumani na nchi nyingine za Ulaya!
 
Kuna sehemu nilisoma wanasema, Uranium U-235 size ya grain moja ya mchele inatoa energy sawa na tani tatu za makaa ya mawe.
This is exactly what we need to produce electrical energy.
 
KLF,HGL mwenzangu,..hata mie huwa nawazaga sana Allience
 
hivi hapa bongo si kuna uranium?
kwa nini tusimtumie bilal kuzalisha Atomic?
nahisi huyu ameingia ktk siasa,..mwisho wakila kitu,.,siasa ya bongo inachanganya sana,....nanikaz nzito kuliko kudeal na nuclear,..kuandaa fix na propaganda huku kuwawaza akina mbowe na lissu miaka 10,...ukistaafu siasa nishida,...mara viarusi,mara damu imefanyaje sijui
 
Mkuu una elimu gani wewe?
Chernoby kilikuwa ni kinu cha kuzalisha umeme, halikuwa bomu, na hata Japani walisha pata madhara kama hayo, Halafu Russia hajawahi tumia hata kichwa kimoja cha Nuclear kwenye vita, so uikurupuke mkuu
(1) Je umesoma post yangu vizuri au ndiyo umekurupuka hivyo au hukuilewa! Katika post uliyoqwoti niliandika teknolojia ya Nyukila sikusema bomu la nyuklia! Mimi nina elimu kamili, lakini inawezekana wewe ndiwe mwenye elimu ya mafungu ambaye huwezi kuelewa unachosoma.

(1) Ajali ya Chernobyl (Urusi-wakati huo) lilikuwa ni tatizo la kifundi, wakati ajali ya Fukushima (Japani) ilisababishwa na tetemeko la ardhi ambalo liko nje ya uwezo wa binadamu. Tafakari maneno yako kabla ya kuyaweka hadharani.
 
Last edited:


Nadhani wewe hujui kuwa nchi ni watu waishio pale siyo waliozaliwa pale wenye asili ya pale. Iwapo Einstein alizaliwa Ujerumani lakini akafanyia mambo yake akiwa mmarekani, ni lazima ukubali kuwa huyo ni mmarekani siyo mjerumani tena. Marekani ya asilia ni ya wahindi wekundu, lakini sera zake zinavuia watu wengi kuhamia na kuifanya iwe nchi ya maajabu. Bomu la nyuklia la kwanza lilitengezwa na kutumiwa na wamarekani siyo wajerumani. Ukitaka kutafuta vyanzo vya watu basi hata hao wajeurmani siyo wa huko bali ni wa kutoka Olduvai Gorge hapa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…