Bomu lalipuka Borussia Dortmund wakienda uwanjani

Bomu lalipuka Borussia Dortmund wakienda uwanjani

Hili suala la wanaoitwa "wahamiaji" kwenda nchi za ulaya utakuja kuniambia mbeleni impact yake
Ujerumani kunakundi moja linajiita PEGIDA linapinga wahamiaji hasa Waislam.

Sasa naona watu walio wengi wanashindwa kutofautisha Uislam na Ugaidi.kwakeli Uislam nyakati hizi wanakazi kubwa yakuwaaminisha watu kwamba Islamic is a religion of Peace!
 
Hawa watakuwa vitukuu wa Ishmael tu,hivi kama hawawapendi wazungu,wanakimbilia nini huko?
Hivi ni kwanini iraq waliivamia usa na kusababisha hadi usa haijatulia hadi leo, huyu sadam amesababisha hadi bush kanyongwa, think big.
 
Back
Top Bottom