Unapomkosoa marehemu asiyeweza kujirekebisha jua na wewe ni marehemu kichwani!! Ndiyo maana hata hukumu ya kifo inapingwa kwa sababu marehemu hawezi kujirekebisha!!Sasa inakuwaje nyie wanyonge wengi mnashindwa na wapigaji wachache?
Fanyeni hivi:
1-wanyonge watetezi wa Maguu tiririkeni
2-wenye akili zetu tuacheni tuendelee kumkosoa
Hujakatazwa kujadili mambo mengine ya kitaifa. Anzisha mada ya hayo ya kitaifa watakaokuwa interested kujadili wanafanya hivyo lakini hakuna sababu ya kufunga mjadala kuhudu JPM. Kama wewe hupendi ajadiliwe ignore threads zote zinazomjadili JPM. Endelea na maisha yako.Doh!
Na ndiyo maana nikasema! Mengine ni ya kuyaacha tuu, ila mjadara huu usio na faida kwenye nchi yetu ukafungwa basi!
Huu mjadara, unasababisha tusijadili mambo ya mhimu ya nchi yetu!
Unatusahaulisha kumtaja taja hata Raisi wetu wa sasa
JK amekufa? Akisemwa vibaya au vizuri anaweza kujibu!! Why anateuliwa kufanya jambo? Kwa sababu ya mema yake na kwa sababu yu hai!!Jk alishaacha uongozi miaka mingi iliyopita akiwa amewasaidia wanajf kibao ajira, elimu na uhuru wa kuongea lakini ndiye raisi anayeongoza kusemwa, kukashifiwa na kuzushiwa; kuanzia yeye mwenyewe hadi familia yake. Kiufupi sijaona raisi aliyependa watu km jk lkn pia sijaona raisi asiyepewa heshima yake (anayechukiwa) kama jk na chuki ilizidishwa dhidi yake kuanzia awamu ya tano maana mwenye nchi mwenyewe alikuwa Kinara wa kumkandia jk.......ghafla bin vuu, taifa zima (la wanyonge) likaanza kucheza wimbo huo na wanyonge hawa hawajaacha kucheza wimbo huo mpaka leo, tena wamejiongeza kwa kumsukumia hadi tuhuma za vifo. Wimbo unaendelea kumuandama hadi mama na wateule wake, kila kitamkwa kinachotoka kwao basi HULAZIMISHWA tafsiri fulani iliyo hasi dhidi ya marehemu; akimsifia jpm wanyonge wanamwita mnafiki anayejikosha, akitoa mapungufu kidogo km yeye alivyokuwa akiyatoa ya wenzake basi wanyonge hupiga kelele kuwa hampendi na kazi yake kumnanga tu.
Pamoja na yote hayO, jk yupo kimya na sisi wafuasi wake tuko kimya pia tunafurahi tu. Ni kawaida, nanyi tulieni tu.
Livumiliwe tu, ni hasira za watu fulani waliosemwa, walionangwa n.k. Kiukweli wapo waliotamani awe hai hadi atakapomaliza muda wake ili wameme mbele ya macho yake, sasa kaakuwa limetokea hilo basi wanaamua aaendelee tu hivyo hivyo!JK amekufa? Akisemwa vibaya au vizuri anaweza kujibu!! Why anateuliwa kufanya jambo? Kwa sababu ya mema yake na kwa sababu yu hai!!
Unapomkosoa marehemu asiyeweza kujirekebisha jua na wewe ni marehemu kichwani!! Ndiyo maana hata hukumu ya kifo inapingwa kwa sababu marehemu hawezi kujirekebisha!!
Quote Reply
Kabisaaaaa,we mwenyewe ushaamsha kipere
hilo bomu umelitega wewe? Acha kutishia watu we nyau mdogo sanaTangu kuondokewa kwa aliyekuwa Amiri Jeshi na Rais wa Tanzania wa awamu ya Tano Mh JPM
Mitandaoni kote hakujawahi kutulia, nilidhani labda kwa kuwa nchi yetu haijawahi kukumbwa na kadhia hiyo ya Rais kufa akiwa madarakani, ndiyo maana kila mtu anajaribu kuongea lakwake, na kifo chake, wengi hawakuamini, kwa sababu ilikuwa ni ghafla mno
Lakini kwa kuwa mwenye kuamua mtu awe hai au hapana ni Mungu na Siri hizo anazo yeye peke yake, Watanzania tulilipokea, ingawa kwa huzuni na majonzi makubwa, na kifo chake na kuagwa kwake, kulionyesha kuwa ni mtu aliyekuwa ameshiba mioyoni mwa watu!
Nilijipa matazamio kwamba, kwa muda angalau wa nusu Mwaka, tungeliweza kusahau na maisha yakaendelea, lakini ninachokiona kuwa itatuchukua muda mrefu mno na hata kutufikisha sehemu si salama ni hii mijadara inayoendelea kila uchwao mitandaoni
Mijadala hii ina pande mbili, kuna wale wanaompondea kwa sana na kumsema kwa ubaya na dhihaka kubwa licha ya kwamba nao pia ni binadamu wale wale waliokwenye mawindo ya aliyewaumba na kwa muda wowote aweza kuwachukua, lakini madai yao ni kwamba waliumizwa mno na utawala wake kiasi kwamba hawataki wanyamaze, hili najiuliza, Je, ipo faida wanapata wakimsema?
Lakini kundi la pili ambalo haliamini hivyo kama wale wa kundi la mashambulizi kudai kwamba waliumizwa, wao wanaona aliyekuwa kipenzi chao kwa nini anasemwa vibaya licha ya kwamba hayuko ktk dunia hii na wanataka wasahau angalau kuangalia maisha mengine, ila kunapotokea mmoja akimsema vibaya JPM, mioyo yao inaumia, na wanaamini kiongozi wao alifanya mengi mno mazuri na aliwagusa maisha yao
Na ukifuatilia mjadara unaoendelea sasa, utagumdua kuwa, kuna waka moto ktk mioyo ya makundi haya!!
Ni ombi langu kwa Serikali, mjadara kumhusu JPM ufungwe rasimi, utazaa mengine mabaya zaidi na nchi yetu itaingia kwenye historia mbaya zaidi,
Mbaya zaidi ni kuwepo watu wanaodai kifo cha JPM ni cha utata, haya mambo yakilelewa lelewa ni hatari,
Tumefika mbali sasa kwa dalili hizi, kwamba mtu Fulani asionekane kanda Fulani??
Chonde chonde, Serikali inaouwezo wa kuzuia Bomu hili lisilipuke
Kwa nini tunagawanyika kwa sababu tuu ya kilichoamliwa na mmiliki wa watu wote..?
Kwani watu wote waliougua Corona walifariki? Ukiwa na matatizo mengine ya kiafya ukipata Corona ni rahisi kufariki kuliko mtu ambaye hana magonjwa mengine.Msaidizi wake corona hai kumuona?
we nyau kanda ya ziwa haiwezi kuamua kura ya nchi. Kuzaliana kwenu hovyo kusiwatishie watanzania, hii nchi kubwa. Hata hivyo kanda ya ziwa hawana mawazo km ya kwako hayo ni yako kaa nayo mwenza wako. Kila mara kanda ya ziwa kanda ya ziwa tumewachoka na ushamba huoK
Tukutane 2025 mtaifahamu kanda ya ziwa
Sasa kama alikuwa fedhule unataka tumsifie.mjadala unafungwaje wakati wako watu wanaomkebehi marehemu kiasi kwamba unasikia hasira ya kujitoa mhanga kama yule aliyeua wanafunzi 19 america.Yani mtu anasema ati MWENYEZI MUNGU AMEAMUA UGOMVI ,MARA YULE JAMAA ALIKUWA MRUNDI ,MARA ALIKUWA MHUTU ,MARA ALIUA WATU WENGI ( ushahidi hawana ) .let us be honest ,kama watanzania wangepewa hata muda wa kumuombea wakati anaumwa haya yasingetokea.mtu mwenye dhamana kubwa katika nchi hii anapodhihaki marehemu tujaiuliza kulikoni na kwa nini haya.Hayati JPM alishalala lakini kuna watu wanamuamsha kila siku kwa dhihaka zao.na nikwambia tu ukweli ni kwamba iko siku wataropoka makubwa mpaka watu wataachwa midomo wazi.
Hawa wanaumiza wengi kuneemesha wachacheJPM aliumiza wachache Ili kuponywa mamilion ya watu.
Utayafanya nini sasa mkuu!
Hivi unajua na wewe ni mmoja wa hao wajinga unaowasema?
Soma kwanza ulichoandika
Wewe mwenzetu uliponaje kati ya hao mamilioni? Bei kushuka, kupanda ndege bure, kwenda kutembelea mbuga ya wanyama Chato.JPM aliumiza wachache Ili kuponywa mamilion ya watu.
sasa wewe mnduku,ben amerudi!!!Nasisi ndugu wa ben saanane unataka tunyamaze? Hebu tupishe mungu apewe sifa kwa kumuondoa replica ya nduli.
kwamba jpm anapata shida[emoji28][emoji28]Jpm anasemwa kwasababu ya maisha aliyojiamulia eye mwenyewe akiwa hai. Unakumbuka kile kicheko chake cha hiiiiiiiiiiiiiiii wakati akiumiza wenzake ? Ule ulikuwa ni wakati wake wa kutamba ! Unajua familia za aliowaumiza zinajusikiaje huu sasa ni muda wa wengine kusema hiiiiiiiiiiiiiiii kanuni ni moja tu karma kila kipimo unachopimia wengine nawewe utapimiwa.
nani anamsema baba wa taifa wewe pungasese??Anasemwa Baba wa taifa sembuse JPM hivi sukuma gang ni lini mtaacha ujinga
Kama unauchungu nenda Chato kuhani kaburi lake.
nyinyi wajinga ndio mtawaponza ccm 2025.Anasemwa sana mwalimu Nyerere tena mpaka kuwekewa na makongamano, je mbona kwa miaka yote hii nchi haijalipuka? Kwa nn anaposema jpm tu ndio nchi ilipuke?
Hii maana yake ni moja tu, huyu ndio alikuwa tatizo na ameacha tatizo na bila shaka tatizo mojawapo ni wewe mwenyewe mleta mada.
Tatizo lako ni ujinga. Jamaa aliwajaza ujinga kiasi kwamba mnahisi ninyi ndio mlikuwa bora na mlifanya bora kuliko wengine wote.
Kumbe mliofanya yote nayo ni ujinga tu. Wanapotokea watu kuondoa ujinga wenu kwenye mnakuja na vithread hapa vya kutishia nyau [emoji23]
mkuu kufilimbwa utaendelea kufilibwa hata baada ya jpm kuondoka.Hakuna mjadala wowote utafungwa, na hata ikifungwa hapa kuna majukwaa kibao ya kujadili utawala ule wa kidhalimu. Wakati alipokuwa akiumiza watu, kuteka, kuwaua na kunajisi chaguzi za nchi hii mliona ni sawa. Sasa tunaendelea kutoa mrejesho wa utawala ule wa kidhalimu, mnakimbia majibu! Hiyo familia yake waruhusiwe kusema lolote watakalo lakini ukweli mtu wao alikuwa katili na mlevi wa madaraka.
Na huko kanda ya ziwa mnakotaka kujifanya alikuwa na haki miliki watu wataenda, na watapata kura za kishindo kwani kura hupangwa na vyombo vya dola na sio wananchi, na yeye ni muasisi wa uhayawani ule. Sasa vuneni alichopanda, na hili litakuwa fundisho kwa viongozi wengine kutawala kwa mabavu.
BENEFIARIES V/S OPRESSED DIARY,Tangu kuondokewa kwa aliyekuwa Amiri Jeshi na Rais wa Tanzania wa awamu ya Tano Mh JPM