Bomu liko katika hatua za mwisho lilipuke, Ila Serikali inao uwezo mkubwa wa kulitegua ili lisilipuke

Bo di dictator asemwe ili iwe fundisho risifanye kosa tena
 
Hivi Mkapa hajawahigi kuharibu eehh!!?
Jidanganye. Hakuna mtanzania mwenye cheti feki zile zilikuwa fix tu za jpm aliindesha nchi ki uongo uongo tu. Cheti kikipotea au kuungua Moto basi unaonekana una cheti feki na hujawahi kusoma. Mungu fundi kulindoa like Mana lilisababisha taharuki lukuki
 
Cc: Pascal Mayalla
 
Yule kafa kwa amri ya Mungu ili kuwaponya na ukatili wake.
Asante Baba Mungu usiyeshindwa na wenye hila mbaya kama JPM
 
Ungeanza kwa kuwauliza wana CCM.
Hasa viongozi waandamizi maana nyingi ya kauli tata tunazisikia kutoka kwao....

Nape Nnauye......
"Mungu ametumalizia Ugomvi"

Makamba Senior......
"Sasa wote tunalamba Asali"
 
Ungeanza kwa kuwauliza wana CCM.
Hasa viongozi waandamizi maana nyingi ya kauli tata tunazisikia kutoka kwao....

Nape Nnauye......
"Mungu ametumalizia Ugomvi"

Makamba Senior......
"Sasa wote tunalamba Asali"
Wote hao ni wezi
 
2025 siyo mbali naona wingu zito likiifunika Tanzania. Kiashiria ni lawama na tuhuma dhidi ya Serikali iliyoko madarakani kuwa ni ya mabwanyenye, mafisadi na wapigaji, kiasi cha nchi kugeuzwa shamba la bibi. Hii inatokana na jinsi nchi inavyoongozwa kwa sasa. Kiongozi mkuu wakati hapa nchini mkakati wake ni demokrasia isiyo na mipaka, anahangaika na kuifungua nchi kiuchumi (demokrasia ya uchumi) akiwaacha wananchi kuchakura
 
Nape anazidi kukoleza moto hadi majeraha yetu yanagoma kupona, kila siku ni Nape na JPM, kifo tumeumbiwa binafamu ilakunani nyuma ya kifo cha shujaa wetu Jiwe?
 
Unapomkosoa marehemu asiyeweza kujirekebisha jua na wewe ni marehemu kichwani!! Ndiyo maana hata hukumu ya kifo inapingwa kwa sababu marehemu hawezi kujirekebisha!!
Usipomkosoa marehem mashuhuri kama Magufuri, basi unataka maovu yake yarudiwe na wengine!
 
Kama unaumizwa na yupo oyoni mwako kausha tu cha msingi usifuatilie nyuzi za kumsema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…