SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Wana Segerea mpewe nini? Yaani pesa mmekula ila Kura hapana? Why? Inafaa basi angalau Mheshimiwa akumbukwe kwenye uteuzi ili angalau Ile 1.8bn irudi. Inauma haswa
Nawaheshimuuuu sanaas wana Segerea heshima kuuubwa sana kwenu na Ukonga heshima kuuubwaWana Segerea mpewe nini? Yaani pesa mmekula ila Kura hapana? Why? Inafaa basi angalau Mheshimiwa akumbukwe kwenye uteuzi ili angalau Ile 1.8bn irudi. Inauma haswa
Yaani mtu apewe uongozi ili afidie hasara? Are you nuts?Wana Segerea mpewe nini? Yaani pesa mmekula ila Kura hapana? Why? Inafaa basi angalau Mheshimiwa akumbukwe kwenye uteuzi ili angalau Ile 1.8bn irudi. Inauma haswa
1.8bn unaanzisha biashara kabisa ila Wana Segerea msivyokua na aibu mkaila bila kurudisha fadhilaYaani mtu apewe uongozi ili afidie hasara? Are you nuts?
Uongozi si fadhila
Acha kusingizia watu. Wana Segerea hawahusiki. Hayo ni maagizo kutoka juu. Usijitoe ufahamu kwamba hakukuwa na uchaguzi ila MaigizoWana Segerea mpewe nini? Yaani pesa mmekula ila Kura hapana? Why? Inafaa basi angalau Mheshimiwa akumbukwe kwenye uteuzi ili angalau Ile 1.8bn irudi. Inauma haswa
Uchawa na upendeleo,wa kindugu ama vinginevyo ufikie ukomo sasa Tanzania.Wana Segerea mpewe nini? Yaani pesa mmekula ila Kura hapana? Why? Inafaa basi angalau Mheshimiwa akumbukwe kwenye uteuzi ili angalau Ile 1.8bn irudi. Inauma haswa
Watu wamewekeza
1.8bn unaanzisha biashara kabisa ila Wana Segerea msivyikua na aibu mkaila bila kurudisha fadhila
Very true, i wish Chadema wagegombea hivyo hivyo hasa kwenye ubunge wangeweza pata viti vingi kuliko CCM .Hapa ndipo naamini chadema wangeingia uchaguzi huu na sheria zingekuwa fair kwa wote ccm ingepigwa chini na hunger lingekuwa na majority upinzani kwa mara ya kwanza.
Kwani kulikuwa na uchaguzi?Wana Segerea mpewe nini? Yaani pesa mmekula ila Kura hapana?