SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Huna hoja. HilooooooUna mimba ya Chadema ?
Pumbavu wewe. Ulanzi mpatie mamayako kwa kutoa fuvu kama lako.pitia huku lingusenguse nikupatie ulanzi ,hii sio rocket science,mafuriko ya bonde la mkwajuni limesababishwa na serikali ya ccm kuruhusu royal families kujenga kule mikokoni ni kuingilia uasili wa mkondo wa maji kwa mto wa msimbazi
Sijui kwa nini hawa wanaolazimisha kuishi kwenye maji wasitengeneze nyumba zao juu ya maji kabisa kama wamekataa kuhama?Ifike mahali maeneo hatarishi yote yazuiwe kufanya shughuli za kibinadamu
Wawe nusu samaki nusu watu🤣Sijui kwa nini hawa wanaolazimisha kuishi kwenye maji wasitengeneze nyumba zao juu ya maji kabisa kama wamekataa kuhama?
Isn't it?which country is this?
Hapo sasa 😄 🤣 😂Wawe nusu samaki nusu watu🤣
Congowhich country is this?
Africa lazima uchukue tahadhari kabla serikali haijakupa tahadhari!Ifike mahali maeneo hatarishi yote yazuiwe kufanya shughuli za kibinadamu
Hili ni janga kubwa sana kwa Watanzania.View attachment 2972028View attachment 2972022
Serikali hili jambo imelifumbia macho halishughulikiwi kabisa Serikali ya CCM imelala usingizi mnono.............................
Miaka yote kuku wapo hapo. Sema ni mvua nyingi tu.Africa lazima uchukue tahadhari kabla serikali haijakupa tahadhari!
Chunguza wewe mwenyewe unaponunua kiwanja kuhusu hatari ya Hilo eneo. Je ni mkondo wa Maji. Sasa wewe subiri uambiwe au utangaziwe kuwa Hilo eneo ni hatari.
Mtu unaenda kuweka kuku wa milion 50 kwenye eneo la mkwajuni unajua kabisa huo ni mkondo wa Maji hizo ni akili au matope!
Kwa sababu hata madarakani wanajichagua hawana habari.Inasikitisha sana maeneo kama jangwani na hapo mkwajuni, serikali ingekuwa inajenga hata mita moja tu kwa mwaka kitu cha flyover leo tusingekuwa tunalalama mika 60 ya muungano