Bonde la Mkwajuni lafurika maji

Bonde la Mkwajuni lafurika maji

Una mimba ya Chadema ?
Huna hoja. Hiloooooo
pitia huku lingusenguse nikupatie ulanzi ,hii sio rocket science,mafuriko ya bonde la mkwajuni limesababishwa na serikali ya ccm kuruhusu royal families kujenga kule mikokoni ni kuingilia uasili wa mkondo wa maji kwa mto wa msimbazi
Pumbavu wewe. Ulanzi mpatie mamayako kwa kutoa fuvu kama lako.
 
Ifike mahali maeneo hatarishi yote yazuiwe kufanya shughuli za kibinadamu
Sijui kwa nini hawa wanaolazimisha kuishi kwenye maji wasitengeneze nyumba zao juu ya maji kabisa kama wamekataa kuhama?

Duniani wapo watu wanaishi juu ya maji. Nyumba zao zina miti au nguzo na nyumba zinakua juu maji yanapita chini

Maana wengi wanajua wapo kwenye njia za maji

Ila mvua ya mwaka huu si salama kila sehemu
Ukiona China leo madaraja yamevunjika na kusombwa na maji
Hata uk mito imetapika
 
Hivi serikali yetu kazi yake ni nini hasa??Miundombinu issues ni zilezile kila mwaka - hatuna long term plan..CCM sijui mlituloga??
 
Kwa nini waliamua kwenda kuishi yalipokuwa mashamba ya mpunga

Ushasema bonde

Hivi kweli mtu mwenye akili anaenda kujenga bondeni?

Acha mafuriko yawakomeshe
 
Ifike mahali maeneo hatarishi yote yazuiwe kufanya shughuli za kibinadamu
Africa lazima uchukue tahadhari kabla serikali haijakupa tahadhari!

Chunguza wewe mwenyewe unaponunua kiwanja kuhusu hatari ya Hilo eneo. Je ni mkondo wa Maji. Sasa wewe subiri uambiwe au utangaziwe kuwa Hilo eneo ni hatari.

Mtu unaenda kuweka kuku wa milion 50 kwenye eneo la mkwajuni unajua kabisa huo ni mkondo wa Maji hizo ni akili au matope!
 
Miaka yote kuku wapo hapo. Sema ni mvua nyingi tu.
 
Inasikitisha sana maeneo kama jangwani na hapo mkwajuni, serikali ingekuwa inajenga hata mita moja tu kwa mwaka kitu cha flyover leo tusingekuwa tunalalama mika 60 ya muungano
Kwa sababu hata madarakani wanajichagua hawana habari.

Lile bonde ukimpa Mchina atakulimia Mchele wa kulisha Ilala nzima.
 
Screenshot_20240423_215749.jpg
 
Watanzania wengi sana ni illiterate na hawajui haki zao wala wajibu, kama hapo anabembeleza wajengewe daraja kama ni hisani vile.
 
Back
Top Bottom