Bondia Abdul Ubaya akabidhiwa milioni 5 za Mama

Bondia Abdul Ubaya akabidhiwa milioni 5 za Mama

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mapema leo Katibu mkuu wa wizara ya Utamaduni,Sanaa na michezo Gerson Msigwa amkabidhi shilingi Milioni 5 bondia Abdul Ubaya kama zawadi Mara baada ya kushinda pambano lake lililofanyika oktoba 25,2024 nchini Urusi.

Pambano hilo alishinda kwa KO na kufanikiwa kubeba Mkanda wa WBA ASIA.

Zawadi hiyo imetolea katika Uwanja wa Benjamini Mkapa, hii inakuwa kama Motisha kwa Mabondia wengine kufanya vizuri nje ya Nchi ili kuipeperusha vyema Bendera ya Nchi.
 
Piga kelele kwa ngumi yakeeee....
Ngumi ya mam hoyeeee
😃😃😃😃😃
 
Back
Top Bottom