Bondia aliyefariki Zanzibar kwa kupigwa TKO, azikwa Dar

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Abassi Mselem, ambaye Novemba 30, 2024 alipigwa ulingoni na kupoteza fahamu kisha kufariki Desemba 1, 2024, amezikwa leo jijini Dar es Salaam.
IMG_1172.jpeg

Mselemu amezikwa kwenye makaburi ya Saku yaliyopo Mbagala jijini Dar es salaam baada ya mwili wake kuwasili leo asubuhi ukitokea Zanzibar.

Mweka Hazina wa Chama cha Makocha wa Ngumi Taifa, Maneno Abdallah, amesema marehemu Mselemu alicheza pambano la utangulizi la raundi 6 dhidi ya bondia Bakari Bakari ambapo ilipofika raundi ya mwisho alianguka na mwamuzi kumaliza pambano.

Abdallah amesema baada ya bondia huyo kuanguka, aliwahishwa Hospitali ya Mnazi Mmoja iliyopo Unguja kutokana na afay yake kutokuwa sawa ambapo umauti ulimkuta akiwa anasubiri kufanyiwa upasuaji.

"Alipofikishwa hospitali alitakiwa kufanyiwa upasuaji lakini daktari akasema aachwe kwanza kutokana na hali yake kuwa mbaya zaidi, wakati akisubiriwa akae sawa ndipo akafariki," amesema Abdallah.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka Zanzibar, Novemba 30, 2024 bondia Mselemu alipanda ulingoni kwenye mapambano ya 'Usiku Wa Left Hook Ya Baba Mwinyi' yaliyoandaliwa na Machatu Boxing Promotion na kufanyika Ukumbi wa Zanzibar Golf Club.
 
View attachment 3167545

Halafu huyo aliyempiga mwenzake atajisikiaje? by the way hii ni aina ya michezo nisiyoipenda.inakuwa burudani mtu anapoumizwa
 
Walikatazwa huu mchezo zbar sasa wanakiuka ya waasisi?
 
Hii ndio sababu marehemu Shekh Abeid Amani Karume alipiga marufuku mchezo huu mpaka ulipokuja kuruhusiwa na Hussein Mwinyi.
 
Huo mchezo ulipigwa marufuku zanziba, wakaurudisha na sasa mtu amekufa kwa kupigwa ngumi ulingoni
 
Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Abassi Mselem, ambaye Novemba 30, 2024 alipigwa ulingoni na kupoteza fahamu kisha kufariki Desemba 1, 2024, amezikwa leo jijini Dar es Salaam.
View attachment 3167545
Mselemu amezikwa kwenye makaburi ya Saku yaliyopo Mbagala jijini Dar es salaam baada ya mwili wake kuwasili leo asubuhi ukitokea Zanzibar.

Mweka Hazina wa Chama cha Makocha wa Ngumi Taifa, Maneno Abdallah, amesema marehemu Mselemu alicheza pambano la utangulizi la raundi 6 dhidi ya bondia Bakari Bakari ambapo ilipofika raundi ya mwisho alianguka na mwamuzi kumaliza pambano.

Abdallah amesema baada ya bondia huyo kuanguka, aliwahishwa Hospitali ya Mnazi Mmoja iliyopo Unguja kutokana na afay yake kutokuwa sawa ambapo umauti ulimkuta akiwa anasubiri kufanyiwa upasuaji.

"Alipofikishwa hospitali alitakiwa kufanyiwa upasuaji lakini daktari akasema aachwe kwanza kutokana na hali yake kuwa mbaya zaidi, wakati akisubiriwa akae sawa ndipo akafariki," amesema Abdallah.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka Zanzibar, Novemba 30, 2024 bondia Mselemu alipanda ulingoni kwenye mapambano ya 'Usiku Wa Left Hook Ya Baba Mwinyi' yaliyoandaliwa na Machatu Boxing Promotion na kufanyika Ukumbi wa Zanzibar Golf Club.
Huu mchezo ufungiwe tu, michezo ya kupoteza uhai wa mtu, kupigana mangumi, halafu watu wanashangilia wenzao wanavyopigana.
 
Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Abassi Mselem, ambaye Novemba 30, 2024 alipigwa ulingoni na kupoteza fahamu kisha kufariki Desemba 1, 2024, amezikwa leo jijini Dar es Salaam.
View attachment 3167545
Mselemu amezikwa kwenye makaburi ya Saku yaliyopo Mbagala jijini Dar es salaam baada ya mwili wake kuwasili leo asubuhi ukitokea Zanzibar.

Mweka Hazina wa Chama cha Makocha wa Ngumi Taifa, Maneno Abdallah, amesema marehemu Mselemu alicheza pambano la utangulizi la raundi 6 dhidi ya bondia Bakari Bakari ambapo ilipofika raundi ya mwisho alianguka na mwamuzi kumaliza pambano.

Abdallah amesema baada ya bondia huyo kuanguka, aliwahishwa Hospitali ya Mnazi Mmoja iliyopo Unguja kutokana na afay yake kutokuwa sawa ambapo umauti ulimkuta akiwa anasubiri kufanyiwa upasuaji.

"Alipofikishwa hospitali alitakiwa kufanyiwa upasuaji lakini daktari akasema aachwe kwanza kutokana na hali yake kuwa mbaya zaidi, wakati akisubiriwa akae sawa ndipo akafariki," amesema Abdallah.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka Zanzibar, Novemba 30, 2024 bondia Mselemu alipanda ulingoni kwenye mapambano ya 'Usiku Wa Left Hook Ya Baba Mwinyi' yaliyoandaliwa na Machatu Boxing Promotion na kufanyika Ukumbi wa Zanzibar Golf Club.
huo mchezo zanzibar walishapiga marufuku, hadi juzi walipoona matajiri wa saudia wanasponsor kina antony joshua ndio wamerudisha kwasababu tu mwarabu ambaye ni mungu wao naye karudisha. ni mchezo mbaya sana, na kwa wabongo haujawahi kumtoa mtu kimaisha.
 
Mchezo wa kishetani kabisa huu
Watu wanapigana bila kugombana
Kisa hela
 
Back
Top Bottom