Bondia asiepigika 'Anthony Joshua' kuzichapa kesho na Andy Luiz Jr

Bondia asiepigika 'Anthony Joshua' kuzichapa kesho na Andy Luiz Jr

Ila Antony Joshua nimegundua hana defence nzuri. Yeye kazi kurusha killer punches ila opponent aki stand ground aka counter act hapo hapo anapigika kiuwepesi sana.
Ni kama Wilder pia hadefend vizuri yeye anataka akikupiga moja akuue.
All in all ukiangalia hili pambano ni kama vile AJ alikua na confidence ya kupitiliza sana. Do not ever underestimate the power of your opponent.
All in all Wamexico sio watu wa mchezo kabisa
 
Niliwaambia toka jana Mexican boxers wako tough sana na Joshua kushinda labda angeenda Nigeria kwanza!!
 
Dah ukisikia UPSET ndo hii sasa[emoji3][emoji3][emoji3], this is one of the biggest upset ever kutokea kwenye boxing, i feel sorry for AJ, yaani kwenye hili pambano kama hakuwa yeye, 4 knockdowns?[emoji44][emoji44][emoji44]
Screenshot_20190602-140829.jpeg
 
Kwenye maisha bwana never give up, watu walikuwa wanamdharau sana huyu jamaa kutokana na mwonekano wake but ndo hivyo kawaprove wrong, binafsi nikiri sikutegemea kama huyu jamaa anaweza mpiga AJ but nilijua anaweza kumpa tabu kutokana nilivyomuona kwenye mapambano yake ya nyuma. Ameingia ulingoni hana kitu, katoka na mikanda yote FROM ZERO TO HERO
 

Attachments

  • Screenshot_20190602-140702.jpeg
    Screenshot_20190602-140702.jpeg
    60.2 KB · Views: 15
  • Screenshot_20190602-140702_1559475574354.jpeg
    Screenshot_20190602-140702_1559475574354.jpeg
    60.6 KB · Views: 17
Wilder kashaanza kuongea shit huko mtandaoni, nadhani kafurahi sana maana anajua anaenda kujichukulia mikanda kirahisi kwa Ruiz[emoji3][emoji3][emoji3]
Screenshot_20190602-142607.jpeg
 
Kapigwa mapema
Andy Ruiz anamzid Joshua almost 10kg amepigana 33 kapigwa mara moja tu na kapiga knockout 22 ukijumlisha na hiyo ya Josh vilevile ni Raia wa Mexico Kwa vyovyote Josh asingeweza kushinda
 
Wilder kashaanza kuongea shit huko mtandaoni, nadhani kafurahi sana maana anajua anaenda kujichukulia mikanda kirahisi kwa Ruiz[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1115232
Yeyote atakaye jipendekeza kwa Ruiz lazma achezee kichapo believe or not labda Mexicana mwenzie not otherwise
 
Andy Ruiz anamzid Joshua almost 10kg amepigana 33 kapigwa mara moja tu na kapiga knockout 22 ukijumlisha na hiyo ya Josh vilevile ni Raia wa Mexico Kwa vyovyote Josh asingeweza kushinda
Hayo sasa mahaba,kuna mahusiano gani ya Mexico na kutopigwa[emoji3][emoji3], mbona Andy Ruiz alishapigwa na Parker ? Even Canelo 'face wao' alichakazwa vibaya na Mayweather
 
#TBT[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom