Bondia asiepigika 'Anthony Joshua' kuzichapa kesho na Andy Luiz Jr

All in all Wamexico sio watu wa mchezo kabisa
 
Niliwaambia toka jana Mexican boxers wako tough sana na Joshua kushinda labda angeenda Nigeria kwanza!!
 
Dah ukisikia UPSET ndo hii sasa[emoji3][emoji3][emoji3], this is one of the biggest upset ever kutokea kwenye boxing, i feel sorry for AJ, yaani kwenye hili pambano kama hakuwa yeye, 4 knockdowns?[emoji44][emoji44][emoji44]
 
Kwenye maisha bwana never give up, watu walikuwa wanamdharau sana huyu jamaa kutokana na mwonekano wake but ndo hivyo kawaprove wrong, binafsi nikiri sikutegemea kama huyu jamaa anaweza mpiga AJ but nilijua anaweza kumpa tabu kutokana nilivyomuona kwenye mapambano yake ya nyuma. Ameingia ulingoni hana kitu, katoka na mikanda yote FROM ZERO TO HERO
 

Attachments

  • Screenshot_20190602-140702.jpeg
    60.2 KB · Views: 15
  • Screenshot_20190602-140702_1559475574354.jpeg
    60.6 KB · Views: 17
Wilder kashaanza kuongea shit huko mtandaoni, nadhani kafurahi sana maana anajua anaenda kujichukulia mikanda kirahisi kwa Ruiz[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kapigwa mapema
Andy Ruiz anamzid Joshua almost 10kg amepigana 33 kapigwa mara moja tu na kapiga knockout 22 ukijumlisha na hiyo ya Josh vilevile ni Raia wa Mexico Kwa vyovyote Josh asingeweza kushinda
 
Wilder kashaanza kuongea shit huko mtandaoni, nadhani kafurahi sana maana anajua anaenda kujichukulia mikanda kirahisi kwa Ruiz[emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1115232
Yeyote atakaye jipendekeza kwa Ruiz lazma achezee kichapo believe or not labda Mexicana mwenzie not otherwise
 
Andy Ruiz anamzid Joshua almost 10kg amepigana 33 kapigwa mara moja tu na kapiga knockout 22 ukijumlisha na hiyo ya Josh vilevile ni Raia wa Mexico Kwa vyovyote Josh asingeweza kushinda
Hayo sasa mahaba,kuna mahusiano gani ya Mexico na kutopigwa[emoji3][emoji3], mbona Andy Ruiz alishapigwa na Parker ? Even Canelo 'face wao' alichakazwa vibaya na Mayweather
 
#TBT[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…