Mkuu tupo tunasubiri mtuambie nani kashinda pambano?#TBT[emoji3][emoji3]
Ooooh! Mimi mda wote najua limepigwa usiku wa kuamkia leo. Ndio maana nikawa nashangaa kwa nini kimya...Pambano usiku, utajua tu maana hili pambano la level ya dunia
Pambano usiku, utajua tu maana hili pambano la level ya dunia
How will we know?AJ anakalishwa tena!
TBCUkiacha Azam. Nani mwingine anaonyesha
Pambano saa ngapi mkuu
DSTV Chanel gani wanaonesha
Dstv hawaonyeshi, sijui wamekuaje siku hiz
Atakaeacha hili pambano kwenda kuwaangalia manyu akili zake haziko sawa!Halafu naona kama pambano hili litaingiliana na Manchester Derby
Ha ha haAtakaeacha hili pambano kwenda kuwaangalia manyu akili zake haziko sawa!
Mmhhh hakika?
Dstv hawaonyeshi, sijui wamekuaje siku hiz
SahauAJ anakalishwa tena!
Hii rematch itakuwa saa ngapi kwa hapa Bongo mkuu? Na ni channel ipi hasa itaonesha?Dah ukisikia UPSET ndo hii sasa[emoji3][emoji3][emoji3], this is one of the biggest upset ever kutokea kwenye boxing, i feel sorry for AJ, yaani kwenye hili pambano kama hakuwa yeye, 4 knockdowns?[emoji44][emoji44][emoji44]View attachment 1115212
Round hiyo hiyo ya 7 au ya 6 ndio atakapopigwa kibonge.Pambano limekwisha round ya 7
Antony Joshua kapigwa kipigo cha mbwa, kapigwa knock out.