Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Mwamuzi Said Mkonde apigana na bondia Said Likaule baada ya kutokea mtafaruku baina ya wawili hao ulingoni.
Mkonde alimaliza pambano kutokana na kile kilichotokea ulingoni kitendo ambacho kilichosababisha Likaule kupandwa na jazba na kupigana na mwamuzi huyo.
Ikumbukwe mwamuzi huyo aliwahi kuwa bondia wa ngumi za kulipwa kabla hajaingia kwenye fani ya uamuzi.
Wakati Mkonde akiwa bondia alipigana mapambano saba na kupigwa mapambano yote na kati ya hayo sita alipigwa kwa ‘KO’ hajawahi kushinda hata pambano moja wala kutoa sare.