mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 630
- 2,151
Bondia mtanzania abdalah Pazi maarufu kama dulla mbabe, amekumbana na kadhia baada ya kushushiwa kichapo cha kwenda na bondia toka United kingdom , dulla mbabe amepigwa ngumi mfululizo za mdomo na jicho huku ngumi zingine zikimpata kidevuni na puani, hali iliyopelekea apepesuke na kupoteza mchezo katika round za awali kabisa.