mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 630
- 2,151
Ilikuaa Round ya 4.Bondia mtanzania abdalah Pazi maarufu kama dulla mbabe, amekumbana na kadhia baada ya kushushiwa kichapo cha kwenda na bondia toka United kingdom , dulla mbabe amepigwa ngumi mfululizo za mdomo na jicho huku ngumi zingine zikimpata kidevuni na puani, hali iliyopelekea apepesuke na kupoteza mchezo katika round za awali kabisa.
Inategemea na uzito wa ngumi aliokutana nao.Kafanikiwa kama anapata mechi England
Kapata pesa watoto wataenda msalani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu, Kwani ni makosa watu kushangilia mtu akikandwa katika ndondi?Watanzania wanashangilia na kufurahia mtanzania mwenzao kapigwa kwenye ndondi. Safari bado refu
ππππ kama yule bro mjedaAngechezea Tz judges wangempa draw
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana eti hakuna kutegea hahahaNgumi ni mchezo mbaya sana imagine haukupi hata nafasi ya kutegea.
Yani ukitegea unabondeka na ukikazana pia unabondeka.
Michezo ni furahaWatanzania wanashangilia na kufurahia mtanzania mwenzao kapigwa kwenye ndondi. Safari bado refu
Bora soccer tunacheza backpass..Ngumi ni mchezo mbaya sana imagine haukupi hata nafasi ya kutegea.
Yani ukitegea unabondeka na ukikazana pia unabondeka.
Draw kwenye KO?Angechezea Tz judges wangempa draw
Hawa Mabondia wa nje Kuna vitu sijui wanapewa,jamaa ila huyo mwamba haijawahi kupoteza hata pambano moja,Kuna yule Mapafu ya Panya ALIPIGWA mpaka kalazwa hospital na Drip juu,sasa hivi anapiga kelele mitaa ya MABIBO huko.Bondia mtanzania abdalah Pazi maarufu kama dulla mbabe, amekumbana na kadhia baada ya kushushiwa kichapo cha kwenda na bondia toka United kingdom , dulla mbabe amepigwa ngumi mfululizo za mdomo na jicho huku ngumi zingine zikimpata kidevuni na puani, hali iliyopelekea apepesuke na kupoteza mchezo katika round za awali kabisa.
Mzaramo ameshapewa dola zake kadhaa..hana chakupoteza uzuri ndugu zangu watu wa kuridhika.Bondia mtanzania abdalah Pazi maarufu kama dulla mbabe, amekumbana na kadhia baada ya kushushiwa kichapo cha kwenda na bondia toka United kingdom , dulla mbabe amepigwa ngumi mfululizo za mdomo na jicho huku ngumi zingine zikimpata kidevuni na puani, hali iliyopelekea apepesuke na kupoteza mchezo katika round za awali kabisa.