Bondia Fadhili Majiha inabidi apewe heshima yake

ToniXrated

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2022
Posts
1,134
Reaction score
2,993
Hongereni Azam Media kwa kupromote mchezo wa ndondi hapa nchini.

Napenda kutaja orodha ya mabondia wangu bora kwa sasa hapa Tanzania.

1/ Fadhili Majiha
2/ Twaha Kiduku
3/ Mwakinyo
4/ Selemani kidunda
5/ Ibrahim Classic mawe
6/ Awadh Tamim
 
Awadh Tamim huyu anaeishi nje ya nchi?
Yule kwenye kideo cha prof jize hapo vipi hapo sawa?
 
Hapa kwenye haya mambo kila mtu atasema bondia anayotoka mkoani kwao ni bora ukienda tanga ukiwauliza watakwambia mwakinyo ni namba moja ukienda morogoro watakwambia twaha kiduku ni balaa hivyo kila mtu abaki na anacho kiamini ila kwa Tanzania na east Africa kwa ujumla mwakinyo ndio anaongoza kwasababu wana chama chao na taratibu zao wanasema mwakinyo ni namba moja kwa takwimu hao wengine wafuate taratibu na sheria za ngumi siku moja watafika alipofika mwakinyo ila huko ni kumkosea adabu mwakinyo kumuweka hyo nafasi.
 
Hongereni Azam Media kwa kupromote mchezo wa ndondi hapa nchini.

Napenda kutaja orodha ya mabondia wangu bora kwa sasa hapa Tanzania.

1/ Fadhili Majiha
2/ Twaha Kiduku
3/ Mwakinyo
4/ Selemani kidunda
5/ Ibrahim Classic mawe
6/ Awadh Tamim

Hongereni Azam Media kwa kupromote mchezo wa ndondi hapa nchini.

Napenda kutaja orodha ya mabondia wangu bora kwa sasa hapa Tanzania.

1/ Fadhili Majiha
2/ Twaha Kiduku
3/ Mwakinyo
4/ Selemani kidunda
5/ Ibrahim Classic mawe
6/ Awadh Tamim
Mandonga mtu kazi mbona hujamuweka,,πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Hongereni Azam Media kwa kupromote mchezo wa ndondi hapa nchini.

Napenda kutaja orodha ya mabondia wangu bora kwa sasa hapa Tanzania.

1/ Fadhili Majiha
2/ Twaha Kiduku
3/ Mwakinyo
4/ Selemani kidunda
5/ Ibrahim Classic mawe
6/ Awadh Tamim
Wapi Bondia Mandonga bondia mwenye upako wa ngumi kukufuata hadi chumbani kwa wakwezo
 
Mabondia wanawekwa kwenye ranks kutokana na uzito wao, kwenye uzito wake Mwakinyo ndo anaongoza..
 
Sasa si kaptula tu mbon wengine wanavaa hata za Britain mboni hauhoji?
Sasa hao si umewaona wewe?mimi nimemuona huyu.... Halafu pia nadhani kuhoji ni akili. Wengine hawana akili za kuhoji. So kama wewe huhoji si kosa langu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…