Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
7. Mandoga Mtu Kazi Mzee wa Ndoige na Pelesu Pelesu [emoji23]Hongereni Azam Media kwa kupromote mchezo wa ndondi hapa nchini.
Napenda kutaja orodha ya mabondia wangu bora kwa sasa hapa Tanzania.
1/ Fadhili Majiha
2/ Twaha Kiduku
3/ Mwakinyo
4/ Selemani kidunda
5/ Ibrahim Classic mawe
6/ Awadh Tamim