barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Alikuwa kimkakati zaidi, mkwanja!Ina maana Gregory hakujua kuwa anaenda kukutana na boxer?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa kimkakati zaidi, mkwanja!Ina maana Gregory hakujua kuwa anaenda kukutana na boxer?
Jamaa wamepiga Bilion ngapi??
Ndondo ndio imekuamsha alfajiri! Wivu ni tabia za kishangingi! Floyd is a winner!Kashinda ndondo, huo ndo ukweli! Na manyumbu kama kawa hawakosi.
Hii pesa ya kawaida hata chenge anayo..He banked in $100M.. Just on a single night.. Unafikiri watu wajinga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pambano toka mwanzo lilikosa mvuto kila kitu kilikuwa kinajulikana ndio maana licha ya kiki nyingi ila imekuwa doroNdindo ndio imekuamsha alfajiri! Wivu ni tabia za kishangingi! Floyd is a winner!
Mkeo ndo kakwambia nimemuacha kitandani peke yake alfajiri? Mara ya mwisho nimeamka sababu ya ndondi ni enzi za Tyson, sijui unanielewa dogo??Ndindo ndio imekuamsha alfajiri! Wivu ni tabia za kishangingi! Floyd is a winner!
Kwenye uzito wake ....huyu hapa aliyeshindikana ...MAYWEATHER IS BEST OF THE BEST....HAKUNA BOXER YOYOTE DUNIANI ANAEWEZA KUMPIGA.....
Kumbe unaa admit kuwa lilikuwa pambano, sasa kwanini hutaki kukubali kuwa jamaa yako kapigwa!?Sijaangalia hilo pambano, alafu ina maana kutokuwa team ya mayweather ndo wivu? Mcgregor hakutakiwa kuwa na support??
Hata Misosi FC walishinda PAMBANO la fainali ndondo, na ni wapi nimesema Mcgregor HAJAPIGWA? Naona wewe ndo uko infatuated na Mayweather kuliko uhalisia.Kumbe unaa admit kuwa lilikuwa pambano, sasa kwanini hutaki kukubali kuwa jamaa yako kapigwa!?
Hapana, Antony Joshua ni heavyweight kama ilivyokuwa akina Mike Tyson, Mohamed Ali,Evander Holyfield na wengineo wakati Mayweather ni uzito mdogo tu, featherweight kama akina Cheka wa Morogoro.Kwenye uzito wake ....huyu hapa aliyeshindikana ...View attachment 575774
Jamaa anaongea kiushabiki sana achananayeHii game Conor alikuwa anaililia kitambo, mpaka matusi kibao wakati Mayweather ameshastaafu. Mayweather 50 games undefeated bado unataka ufahamu wezo wake leo? Okay!
antony joshua akipambana na mayweather atafia ulingoni....ni mzito kama mcheza sumo na hana punziKwenye uzito wake ....huyu hapa aliyeshindikana ...View attachment 575774
After this May will join Michael Jordan na Tiger Woods kwa wanamichezo wenye ukwasi wa Us $ BillioniUnaambiwa McGregor ameingiza Bilioni 200.
Hapo alishaingiza hata kabla pambano kuanza.
Mayweather ndio usipime, maaana pambano lote limeingiza mapato zaidi ya Trilioni moja.
Yule alikuwa anataka pesa tuuuHahaha! Yaani mtu akirejea tambo zake mwanzoni, jamaa alikuwa a matusi sana huyu!
Kule akimaliza round 1 mwanaume, wana mapigo ya hatari sanaNingependa wapige mkwanja mwingine ila Maywether aende MMA.
Mkuu, kila mchezo una taratibu zake. Kwenye ngumi kinachogombewa huwa ni mkanda. Bondia akiwa na mkanda ina maana rank yake iko juu, akiwa ranked juu ina maana ana uhakika wa kupata kiasi kikubwa kuliko challenger yeyote atakayepambana naye kwa sababu atakuwa ranked chini yake. Kwa ishu ya Mayweather, hakukuwa na mkanda wowote officially lakini Mayweather alikuwa ranked juu kwa kuwa ana rekodi bora kuliko McGregor ambaye alikuwa hajawahi kupigana. Masuala ya malipo hujadiliwa kabla ya pambano na kila mtu anakuwa anajua atalipwa kiasi gani. Nadhani utakuwa umeelewa.Nieleweshe sasa, sasa kuna haja gani ya kufanya usajili kama wa mpira wa miguu? Unamsajiri pogba kwa dau kubwa, neymer kwa hela ndefu hafu haleti ushindi.
Wangeweka wazi kuwa atakayeshinda usd hizo na ziwe kubwa kuliko za aliyeahindwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Alitaka kupiga mpunga tu, ila alijua hawezi kutoboa kwa MayMechi yake ya kwanza then akamchagua Mayweather!? Akina Cheka hakuwaona?